03/07/2017
...leo mpira ni ajira kwakuwa wachezaji wanalipa kodi tulud katka kijij che2 msolwa ujamaa,kwa wale wazee wenzangu mtakuwa mnanielewa kuna timu ilikuwa inaitwa msolwa star ya miaka hyo ya 90 ilikuwa n timu ya tatu kwa ubora kimkoa wale watu kwa xaxa n wazaz na wanavijana wakubwa 2 uelewa wang mdogo unanambia mtoto mambo meng analith kwa wazaz je k**a n hvyo kwann vijana hao hawachez mpira na k**a wanacheza kwann hawafk pale walipofika wazee wao unahc nin wamekikoxa vijana hao na uxhaul gan unawapa ili 2iludixhe msolwa star ile ilokuwa inatikisa mkoa? CHANGIA YALIYO MEMA KUKOMBOA VIPAJI VYA VIJANA