Peter habari za Michezo official

Peter habari za Michezo official HAPA NI HABARI MUHIMU ZA MICHEZO TU, MATUSI,PICHA ZA UTUPU, NA VITU VINGINE VISIVYOKUBALIKA HAVIRUHISIWI KATIKA PAGE HII

Afadhali jamani, nilitoa mawazo kabla Simba haijapoteza mechi ya pili, tumepoteza mechi 2 mpka sasa kimataifa na zilizob...
02/12/2025

Afadhali jamani, nilitoa mawazo kabla Simba haijapoteza mechi ya pili, tumepoteza mechi 2 mpka sasa kimataifa na zilizobaki ndo ngumu.

TAARIFA KWA UMMA.

02/12/2025

UKWELI NI MCHUNGU SIMBA WAMEAMUA KUACHANA NA MENEJA WAKE PANTEV NA TIMU ITABAKI CHINI YA MATOLA

SIPINGI MUSEMACHO KIWA NI AJIRA ZA WATU ILA ILE NI TAASISI INAITAJI MAFANIKIO UWONGOZI WA SIMBA NDIO TATIZO KUU NA UPO PALE KWA MASLAHI BINAFSI NA SIO YA TAASISI K**A MUPO KITETEA AJIRA ZA WATU BASI KAENI KIMYA MUSILETE LAWAMA ILA K**A MUNAITAJI MAFANIKIO WASIANGALIANE USONI MAMBO YA YULE NDUGU WA FULANI NDIO MWANZO WA MATATIZO

HUYO MATOLA NDIO TATIZO LA KWANZA K**A SIMBA AMUWEZI KUMTOA BASI MPENI NAFASI KWENYE SEKTA NYENGINE AKUNA KOCHA ANAPENDA KUWA CHINI YA KOCHA

K**A KUNA KOCHA ATAKUJA BASI ATEGEMEE THANKS YOU MWISHO WA MSIMU

๐——๐—ข๐—ก๐—˜ ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ๐Ÿšจ ;Timu ya Wananchi Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mkabaji Yusuph Kagoma Kutoka kwa Singida fountain...
08/05/2024

๐——๐—ข๐—ก๐—˜ ๐——๐—˜๐—”๐—Ÿ

๐Ÿšจ ;Timu ya Wananchi Yanga imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo mkabaji Yusuph Kagoma Kutoka kwa Singida fountain Gate kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha mwaka mmoja wa nyongeza.

Yusuph Kagoma atasaini mkataba na Yanga siku ya jumanne makao makuu ya Gsm Salamander Tower.๐Ÿ“

๐ŸŸก๐ŸŸข

PRINCE DUBE | Ametikisa nyavu kwenye โ€˜Mzizima Derbyโ€™ tatu mfululizo za ligi kuu;Je, safari hii itakuwa zamu ya nani kuzi...
08/05/2024

PRINCE DUBE | Ametikisa nyavu kwenye โ€˜Mzizima Derbyโ€™ tatu mfululizo za ligi kuu;

Je, safari hii itakuwa zamu ya nani kuzigusa nyavu za Simba?

Tukutane Mei 9 LIVE kuanzia saa 12:15.

โ€œAziz Ki ni kweli anamaliza mkataba wake lakini kwa hapa sioni k**a kuna timu ambayo Aziz anaweza kucheza, Aziz anahitaj...
08/05/2024

โ€œAziz Ki ni kweli anamaliza mkataba wake lakini kwa hapa sioni k**a kuna timu ambayo Aziz anaweza kucheza, Aziz anahitajika na timu nyingi kwa hizi timu za Afrika Kusini Aziz hawezi kucheza na watu wanaofanya dhuluma namna ileโ€

โ€œZiko ofa nyingi lakini kubwa ambalo naweza kuwaambia wanayanga,wachezaji bora ambao wamewaona kwenye kikosi chetu wanasalia kwenye kikosi chetuโ€ Maneno ya Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe akielezea kuhusu mkataba wa Aziz Ki na klabu ya Yanga.

WANASIMBA Mnamtaka Nani Hapaโ‰๏ธ๐Ÿ‘‡
07/05/2024

WANASIMBA Mnamtaka Nani Hapaโ‰๏ธ๐Ÿ‘‡

UPDATES:Zilizotufikia Sasa ,kocha wa Al hilal ya Sudan Florent Ibenge amevunja mkataba wake na timu hiyo.   Inatajwa koc...
05/05/2024

UPDATES:
Zilizotufikia Sasa ,kocha wa Al hilal ya Sudan Florent Ibenge amevunja mkataba wake na timu hiyo.
Inatajwa kocha huyo kulingana nz Hali ya kiamani ya Sudan anakuja Tanzania kuingoza timu Moja kubwa hapa Tanzania.
# #
kwa wote #

04/05/2024

Tupate burudani kidogo kutoka kwa wadhamini.

Address

Mbinga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Peter habari za Michezo official posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category