Soka tz update

Soka tz update Nyumba ya soka ๐Ÿ˜๏ธ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ

Timu 5 za juu msimamo wa ligi kuu Uingeleza ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐Ÿ“ถ
04/10/2022

Timu 5 za juu msimamo wa ligi kuu Uingeleza ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐Ÿ“ถ

Ifike muda sasa tuanze kuwamini wachezaji wetu wazawa wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni na kufan...
21/09/2022

Ifike muda sasa tuanze kuwamini wachezaji wetu wazawa wa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ili kupunguza idadi ya wachezaji wa kigeni na kufanya ligi yetu kuwa bora Afrika

Tumejijengea tabia ya kuwaamini wachezaji wa kigeni na wakati kuna vijana wengi tuu wa ndani Tanzania wanauwezo mkubwa wa kucheza timu kubwa k**a Yanga, Simba, Azam n.k

Mfano wachezaji wa TANZANIA wanaocheza Simba au Yanga wamekuwa wakicheza kwa jitihada kubwa kutokana na kupata namba mara chache na kazi wanayoifanya haiendani na malipo kwenye mikataba yao๐Ÿ‘€

FULL TIME NBC PREMIER LEAGUE ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโšซKMC FC 2-1 IHEFU FC ๐Ÿ”ต
20/09/2022

FULL TIME NBC PREMIER LEAGUE ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โšซKMC FC 2-1 IHEFU FC ๐Ÿ”ต

Maneno ya kocha mkuu Singida Big Star HANS VAN PLUIJM kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya GEITA GOLD
20/09/2022

Maneno ya kocha mkuu Singida Big Star HANS VAN PLUIJM kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya GEITA GOLD

Address

Mbezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka tz update posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category