27/08/2026
๐ฅ๐๐ฆ๐ ๐:
Mamelodi Sundowns itakutana na Al Ahli ya Saudi Arabia katika mchezo wa FIFA African-Asian-Pacific Cup.
Mchezo huo utapigwa Septemba 19, 2026, kwenye uwanja wa Loftus Versfeld Stadium, mjini Pretoria, Afrika Kusini.
Mshindi wa mchezo huu atatwaa taji la FIFA African-Asian-Pacific Cup na kutinga hatua inayofuata ya mashindano, FIFA Challenger Cup.
Mshindi wa hatua hiyo ataendelea na safari ya kuwania FIFA Intercontinental Cup, ambayo itafikia kilele kwa fainali dhidi ya Paris Saint-Germain, mabingwa watetezi.
Sundowns vs Al Ahli โ pambano la mabingwa wa Afrika na Asia!