DAR YOUNG AFRICAN SUPPORTERS

DAR YOUNG AFRICAN SUPPORTERS Nimeanzisha ukurasa huu kwa ajili ya mashabiki wa YANGA kupeana maoni mbalimbali ya michezo, naipenda YANGA. DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

14/01/2021

TATIZO LENU MIKIA MNAJUA KUCHEZA MPIRA WA MDOMONI ILA MKIINGIA UWANJANI MNACHEZA SEGERE

Hatimaye Simon Msuva ajiunga na klabu ya Benificaa
10/01/2020

Hatimaye Simon Msuva ajiunga na klabu ya Benificaa

20/09/2019
11/08/2019

NAIPENDA SANA YANGA TIMU YA WANANCHI 100% YAANI YANGA SC

12/02/2019

Mtu akikuambia kaa vizuri ujue kashaakuona.
Swali kwako amekuona nini?

16/01/2019

Yanga hii hainaga masiala na mtu. K**a we ni Mwanayanga comment Oyooooo!!!

10/12/2018

Wanayanga tunasota tu ingawa hatuna pesa lakini Mungu ni mwema kwetu, anatupenda. Najua ipo siku tutafutwa machozi yetu. K**a wewe ni mwanayanga usichoke kuisapoti timu yako, tujipe moyo tutafanikiwa tu.

17/10/2018

Mimi k**a Mwanayanga sijaona aliyeziba pengo la Msuva ktk klabu ya Yanga.

Address

Mwalisi
Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAR YOUNG AFRICAN SUPPORTERS posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category