Ituha Veterani Fc

Ituha Veterani Fc πŸ‘‰πŸΌEST: August 2023: πŸ‘‰πŸΌOfficial Facebook account of Ituha Veterani Fc: πŸ‘‰πŸΌItuha, Ilomba-Mbeya.

Mtag k**a umemtambua Messi wa Ituha Veterani fundi wa ball ⚽️ kabla hajajipa alikuwa na ndoto za kucheza Yanga Afrika.πŸ˜‚πŸ˜‚...
26/08/2025

Mtag k**a umemtambua Messi wa Ituha Veterani fundi wa ball ⚽️ kabla hajajipa alikuwa na ndoto za kucheza Yanga Afrika.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

… Wazee wa Location hapa ni Wapi?πŸ€”NB: Hii game Morisson aligusa mpira mara 3 pekee ndani ya dakika 45.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
25/08/2025

… Wazee wa Location hapa ni Wapi?πŸ€”

NB: Hii game Morisson aligusa mpira mara 3 pekee ndani ya dakika 45.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Guys who?πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚
24/08/2025

Guys who?πŸ€”πŸ˜‚πŸ˜‚

Ituha Veterani Fc tunatoa pole kwa familia na wote walioathirika na ajali ya kuporomoka kwa jengo Kariakoo. Tunawaombea ...
17/11/2024

Ituha Veterani Fc tunatoa pole kwa familia na wote walioathirika na ajali ya kuporomoka kwa jengo Kariakoo. Tunawaombea majeruhi wapate nafuu ya haraka na nguvu kwa waliofiwa.πŸ’”πŸ•ŠπŸ•ŠπŸ™πŸΌ

Admin kapata bando baada ya kufunga goli jana bhanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anyway shughuli ya Jana Mbalizi Veterans wamepigwa Chuma 2-1 dhi...
17/06/2024

Admin kapata bando baada ya kufunga goli jana bhanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anyway shughuli ya Jana Mbalizi Veterans wamepigwa Chuma 2-1 dhidi yetu Ituha Veterani Uwanja wetu wa Nyumbani Old Trafford Songwi,Ituha… mchezo wa marudiano ni Jumapili June 22 Mbalizi… imani yetu tutawakanda tena.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Football ni zaidi ya familia… nyakati za furaha zinatawala zaidi ndani ya Ituha Veterani.β€οΈπŸ˜…πŸ˜…
01/05/2024

Football ni zaidi ya familia… nyakati za furaha zinatawala zaidi ndani ya Ituha Veterani.β€οΈπŸ˜…πŸ˜…

Tupo Chimbo ila siyo Zanzibar kwa Simba.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
23/04/2024

Tupo Chimbo ila siyo Zanzibar kwa Simba.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Captain material Payet  on the wheel πŸ›ž πŸ”₯🫢🏽
16/01/2024

Captain material Payet on the wheel πŸ›ž πŸ”₯🫢🏽

Timu yetu ilipewa cheti Cha ushiriki wa Bonanza la kumuenzi Shaban Robert lililofanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine ...
16/10/2023

Timu yetu ilipewa cheti Cha ushiriki wa Bonanza la kumuenzi Shaban Robert lililofanyika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Mbeya hapo jana.

Aidha tunatumia nafasi hii kuwashukuru waandaji wa bonanza hili kwa ukarimu wenu na kupatia nafasi hii adhmu kwetu yenye lengo la kudumisha umoja, upendo na mshik**ano katika jamii.
πŸ’ͺ🏽

Kikosi chetu kitaendelea na mazoezi hii leo Uwanja wa Shule ya Msingi Nsongwi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi  zi...
11/10/2023

Kikosi chetu kitaendelea na mazoezi hii leo Uwanja wa Shule ya Msingi Nsongwi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mechi zinazofuata ikiwemo bonanza la October 15 Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine Mbeya.

Ituha Veterani Fc mapema hii leo tumekata wese katika uzinduzi wa Dream Jogging πŸƒβ€β™€οΈ Club shughuli imeanzia makao makuu ...
07/10/2023

Ituha Veterani Fc mapema hii leo tumekata wese katika uzinduzi wa Dream Jogging πŸƒβ€β™€οΈ Club shughuli imeanzia makao makuu ya Dream Fm Sae Pipeline mpaka Viwanja vya Sangu Secondary. Tumefurahi kuitangaza timu yetu kwa jamii. Tunawashukuru sana ndugu zetu Dream FM kwa mualiko huu. πŸ’ͺ🏽 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

VETA Veterans WameyatimbaπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ FT: VETA Veterans 3-4 Ituha Veterani πŸ’ͺ🏽
01/10/2023

VETA Veterans WameyatimbaπŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

FT: VETA Veterans 3-4 Ituha Veterani
πŸ’ͺ🏽

Address

Mbeya
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ituha Veterani Fc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category