Masha sport arena

Masha sport arena Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Masha sport arena, Sport & recreation, S. l. P 599, Mbeya.

23/04/2023

π—‘π—˜π—«π—§ π— π—”π—§π—–π—›πŸ”°

⚽️ Rivers UnitedπŸ†šYoung Africans SC
πŸ—“ 23.04.2023
⏱ Saa 08:00πŸ‡³πŸ‡¬| Saa 10:00πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
🏟 Uwanja wa Godswill Akpabio
πŸ†


" Kesho tuna mechi ngumu sana wala sio utani, Mimi ni Mtu wa kutamba sana lakini nimecheki kwenye darubini yangu  kesho ...
23/04/2023

" Kesho tuna mechi ngumu sana wala sio utani, Mimi ni Mtu wa kutamba sana lakini nimecheki kwenye darubini yangu kesho tuna mechi ngumu sana , kwanza tunacheza na timu yenye rekodi nzuri uwanja wa nyumbani lakini pia walipofikia sasa hivi sio mechi ya Rivers dhidi ya Yanga ni mechi ya Nigeria dhidi ya Yanga kwa sababu hakuna timu nyingine ya Nigeria ambayo ipo Robo fainali"-

Afisa habari wa Yanga SC kuelekea mchezo wa kesho huko Nigeria

Follow Page πŸ™

Hongera Simba Kwa kushinda mechi ya Leo mnastaili pongezi sana .ila fulaha isizidi kwani bado mapambano hayajaisha kule ...
23/04/2023

Hongera Simba Kwa kushinda mechi ya Leo mnastaili pongezi sana .ila fulaha isizidi kwani bado mapambano hayajaisha kule Morocco mlima ni mkubwa mno .

Ubaya ni kwamba hakuna point tatu mazee

Motisha inahitajika sana Kwa wachezaji na benchi la ufundi Kwa ujumla

Ukiangalia wapinzani walikuwa wanacheza Kwa kutegea pia Kwakurelax mno wakitegemea kulipa kisasi kwao hivyo moto utawaka wikendi ijayo
inshallah

Address

S. L. P 599
Mbeya

Telephone

+255753130987

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Masha sport arena posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share