08/11/2019
Elisha Elisha
🌎
Zlatan ibrahimovic anayekipiga
Kwenye klabu ya LA galaxy huenda akajiunga na klabu ya Ac Milan ya nchini Italia katika kipindi cha dirisha dogo.
🌎
Chanzo cha habari BBC Swahili.
Habari na Elisha Elisha.