Ulimwengu wa michezo

Ulimwengu wa michezo Page is about sports

TETESI...................Baada ya simba sc kumtambulisha winga anicet oura usiku wa jana basi klabu io inahitaji kuongez...
27/01/2026

TETESI...................

Baada ya simba sc kumtambulisha winga anicet oura usiku wa jana basi klabu io inahitaji kuongeza mchezaji mwingine 1 wa kigeni ambae atakwenda kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji ambae atakua akicheza namba moja na mwamba wa Lusaka triple c clatous chota Chama.......

Na tetesi zinasema kiungo namba 10 INNO JOSPIN LOEMBA ndio mchezaji mwenye nafasi kubwa katika miamba io ya soka Tanzania Bara na status zake ni izii hapa๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

REMEMBER NAME........

THE NAME INNO JOSPIN LOEMBA..........๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Amezaliwa tarehe 4/8/2004

umri wake ni miaka 22

Ni raia wa Congo Brazzaville

Nafasi yake ni namba 10 ni kiungo mshambuliaji

Agent:sport striker

Note:Lilikuwa ni pendekezo la kocha Dimitar pantev kabla ya kuachana na miamba io ya soka.

Kalibuni jamani kwenye page yetu kwa ajiri ya michezo mbalimbali kwa uhakika zaidi na ukwel
13/10/2022

Kalibuni jamani kwenye page yetu kwa ajiri ya michezo mbalimbali kwa uhakika zaidi na ukwel

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ulimwengu wa michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ulimwengu wa michezo:

Shortcuts

Share

Category