Ihefu fc

Ihefu fc Transforming information on sports

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ezekiel Fanuel, Habil Ndonde, George Peter, Akida M Khalf...
14/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Ezekiel Fanuel, Habil Ndonde, George Peter, Akida M Khalfan, John Dee, Ahazi Andason, Maulid Jarden, Dinno Masunga, Ambross Mohamed, Fadhili Øffîçial Tz, Suleiman Khatib, Wilson Stanley, Ibrahim Hassan, Zabron Mahenge, Ñiçk Çlévér, Ligwa Mkina, Godfrey Incent, Kanuda Sitta, James Mwalongo

05/03/2024

Mmeshamaliza kufananisha mzee wa breach na chama? Mimi nawajibu hivi; kuna mchezaji kuonekana bora musimu huu tu ila huyo mwingine anaibeba timu mgongoni mwake huu ni msimu wa sita 🥹🥹

Kazi ya nusu chuma nusu mlingoti. Huyo ndo Onyango mzee baba wa kutoka kwa wapenda kiingereza Kenya 😕😕😕😕
05/03/2024

Kazi ya nusu chuma nusu mlingoti. Huyo ndo Onyango mzee baba wa kutoka kwa wapenda kiingereza Kenya 😕😕😕😕

Hivi kocha wa taifa stars aliwaza nini kuongea utumbo ule?In english tomorrow we are going to be with Gadiola fat 😔😔👏👏
20/01/2024

Hivi kocha wa taifa stars aliwaza nini kuongea utumbo ule?

In english tomorrow we are going to be with Gadiola fat 😔😔👏👏

Hapo nawaza Mgunda na Morocco wataweza kweli kutuvusha? Ngoja tusubiri.😔😔😔😔
20/01/2024

Hapo nawaza Mgunda na Morocco wataweza kweli kutuvusha? Ngoja tusubiri.😔😔😔😔

Msumbiji leo mmeyatimba, poleni sana akina tiko tiko 😔😔😔😔
19/01/2024

Msumbiji leo mmeyatimba, poleni sana akina tiko tiko 😔😔😔😔

Wenzako walitoa nae sare wewe umekuja na mdomo mrefu mara ooh nataka niwaoneshe namna ya kumfunga APR Kiko wapi sasa eeh...
07/01/2024

Wenzako walitoa nae sare wewe umekuja na mdomo mrefu mara ooh nataka niwaoneshe namna ya kumfunga APR Kiko wapi sasa eeh nauliza Kiko wapi??😠😠

Kila mtu na bango lake. Hili bango tutaliweka flyover ya ubungo jumamosi hii. Kila mtu na kibonde wake bwana 🙂🙂🙂🙂
16/11/2023

Kila mtu na bango lake. Hili bango tutaliweka flyover ya ubungo jumamosi hii. Kila mtu na kibonde wake bwana 🙂🙂🙂🙂

29/10/2023

Ihefu yaishauri Palestina

Hiki hapa kikosi chetu cha kumfumulia mtu pale pale kwenye mshono. Chibonge wao leo haanzi😃😃😃😃
28/10/2023

Hiki hapa kikosi chetu cha kumfumulia mtu pale pale kwenye mshono. Chibonge wao leo haanzi😃😃😃😃

Leo nipo na hawa waliotoka Misri juzi. Tuombeane wapendwa mji una joto sana huu😒😒😒😒
28/10/2023

Leo nipo na hawa waliotoka Misri juzi. Tuombeane wapendwa mji una joto sana huu😒😒😒😒

20/10/2023

Dah hawa jamaa tuwaheshimu tu. Yaani Mimi ni wa kusafiri toka Mbalali hadi Dar kwa ajili ya kuja kumshika mkono Arsene Wenger kweli??

Address

Mbalari
Mbeya
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ihefu fc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ihefu fc:

Share