Simba S.C Supporters in Lushoto

Simba S.C Supporters in Lushoto Lengo letu ni kuisapoti SIMBA SPORTS CLUB kwa hali na mali. Nguvu Moja!

16/09/2023

Vibe la Mashabiki wa Simba kuelekea mechi ya leo dhidi ya Power Dynamo ya Zambia. Wanasimba mpo tayariiiii?🦁

πŸ’ͺπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Mnauonaje u*i wetu wa msimu ujao?
15/08/2020

Mnauonaje u*i wetu wa msimu ujao?

Hatimaye Kamati Ya Utendaji ya Simba Sc imeafiki kumpa Mo Dewji hisa..Mchakato sasa kuanza rasmi.
17/08/2016

Hatimaye Kamati Ya Utendaji ya Simba Sc imeafiki kumpa Mo Dewji hisa..Mchakato sasa kuanza rasmi.

SIMBA HII LAZIMA UTAIPENDA TU...Yamchampa mtu 4 bila taifa, Mavugo awa gumzo, atoa assist mbili na kufunga goli moja..Ma...
09/08/2016

SIMBA HII LAZIMA UTAIPENDA TU...
Yamchampa mtu 4 bila taifa, Mavugo awa gumzo, atoa assist mbili na kufunga goli moja..Mashabiki waondoka kiroho safi

Leo Tunaadhimisha miaka 80 tangu kuzaliwa kwa Simba SC..Kipi unajivunia kuwa Shabiki wa Simba?
08/08/2016

Leo Tunaadhimisha miaka 80 tangu kuzaliwa kwa Simba SC..

Kipi unajivunia kuwa Shabiki wa Simba?

Baada ya kusakwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji raia wa Burundi Laudit Mavugo atua usiku huu uwanja wa ndege Dsm ...
03/08/2016

Baada ya kusakwa kwa muda mrefu, hatimaye mshambuliaji raia wa Burundi Laudit Mavugo atua usiku huu uwanja wa ndege Dsm tayari kabisa kukipiga Msimbazi..

Nguvu moja

Hatimaye uongozi wa Simba SC umemuita mezani bilionea namba 21 wa Afrika Mohamed Dewji ili kujadiliana juu ya kupewa tim...
01/08/2016

Hatimaye uongozi wa Simba SC umemuita mezani bilionea namba 21 wa Afrika Mohamed Dewji ili kujadiliana juu ya kupewa timu..Hii ni ishara nzuri na inaleta matumaini makubwa kwa wana Simba SC.

Mungu Ibariki Simba Sc, Mungu Ibariki Tanzania

Mo Dewji awataka wanachama wa Simba Sc kukubali anunue asilimia 51 za hisa ili timu iendeshwe kwa mfumo wa kampuni, Aahi...
29/07/2016

Mo Dewji awataka wanachama wa Simba Sc kukubali anunue asilimia 51 za hisa ili timu iendeshwe kwa mfumo wa kampuni, Aahidi kujenga uwanja wa kisasa ndani ya miaka 3 , pia kuwa na timu za U20 ,U17 na U12 ...Asilimia 49 za hisa zilizobaki kugawiwa bure kwa wanachama.
Asema k**a wanachama watapitisha ombi lake kwenye mkutano mkuu jumapili ijayo, basi ataanza kuisadia timu kifedha wakati mchakato wa kukabidhiwa timu rasmi ukiendelea...

Toa maoni yako, je Mo apewe timu?

02/07/2016

USAJILI SIMBA HUU HAPA..

Baada ya klabu ya wekundu wa Msimbazi Simba
kufanya usajili kimya kimya na kwa usiri
mkubwa, July 1 2016 walitangaza kocha wao
mpya Mcameroon Joseph Omog na leo July 2
2016 wameamua kutangaza list ya wachezaji wao
wote watakaowatumia katika msimu wa
2016/2017.

Magolikipa:
Foreign: Vincent De Paul Angban
Peter Manyika
Denis Deonis

Beki wa kulia:
Hamadi Juma: Coastal Union
Salum Kimenya: Prisons

Beki wa kushoto:
Mohamed Hussein
Abdi Banda

Mabeki wa kati:
Novaty Lufunga
Foreign: Juuko Murushid
Emmanuel Simwanza: Mwadui FC
Foreign: Janvier Besala Bokungu

Viungo:
Jonas Mkude
Awadh Juma
Foreign: Justice Majabvi
Saidi Ndemla
Mwinyi Kazimoto
Mzamiru Yassin: Mtibwa Sugar
Mohamed Ibrahim: Mtibwa Sugar
Foreign: M***a Ndusha

Winga:
Peter Mwalyanzi
Jamal Mnyate – Mwadui FC
Shiza Kichuya – Mtibwa Sugar
Hassan Kabunda – MwaduiFC

Washambuliaji:
Ibrahim Hajibu
Daniel Lyanga
Haji Ugando
Mbaraka Yusuf – Kagera Sugar
Laudit Mavugo – Vital’O (Burundi)
Blagnon Goue Frederic: Africa Sports (Ivory
Coast)
Ame Ali – Azam FC

Address

Lushoto

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba S.C Supporters in Lushoto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share