22/04/2024
KUTOKA KAPUNI.
Na,Rahim Sakabona.
Huyu ni ,Thadeo Masika (Mwanajeshi) ni kocha wa Kyela Veteran Sc nikocha mwenye mafanikio zaidi kuliko makocha wote wanaoshiriki katika mashindano yote ya Bonanza la Nyanda za Juu kusini. Mwaka jana mwezi wa 11 alishinda Ubingwa wa Bonanza hilo pale Tunduma na mwaka huu anaendelea kukinoa kikosi chake kwa safari ya kuelekea Mkoani Njombe ambapo Bonanza litafanyika mkoani hapo mnamo tarehe 25 na 26 mwezi wa tano.
Nauli ya Safari ni shilingi Elfu hamsini kwenda na kurudi kwa mtu yeyote atakae hitaji kusafiri na kikosi hiki.