Tangaza Nasi

Tangaza Nasi Habali Za Michezo

Habari za leo ndugu zangu,picha ya huyo mtoto hapo chini Anaitwa Makrina Lukas au Chanch kwa jina lililozoeleka.Mtoto hu...
12/02/2020

Habari za leo ndugu zangu,picha ya huyo mtoto hapo chini Anaitwa Makrina Lukas au Chanch kwa jina lililozoeleka.Mtoto huyu yupo form four shule ya secondary Magugu wilaya ya Babati,mkoa wa Manyara.Mtoto huyu amepotea tarehe 04/02/2020 ,alitoka nyumbani saa moja na nusu asubuhi akiwa anaenda shule,na umbali kutoka nyumbani kwao hadi shuleni ni k**a 2 kms hivi,hakufika shule siku hiyo na hadi leo hajulikani alipo.Kwa hiyo naomba msaada kwa yoyote atayehisi au kumfahamu kuwa ni yeye tafadhali naomba toa taarifa kituo cha polisi kilichopo karibu naye.Au piga namba hizi:0787316877-Baba yake- Lukas Doga au 0754483431-Venance Doga.Tafadhali share kwa magroup mengine itatusaidia.

Aston Villa 1-1 LeicesterDakika ya 89
28/01/2020

Aston Villa 1-1 Leicester

Dakika ya 89

Aston Villa 1-1 LeicesterDakika ya 84
28/01/2020

Aston Villa 1-1 Leicester

Dakika ya 84

Substitution
28/01/2020

Substitution

HAF TIMEAston Villa 1-0 Leicester
28/01/2020

HAF TIME

Aston Villa 1-0 Leicester

SAMATTA MZIGONI
28/01/2020

SAMATTA MZIGONI

28/01/2020

Hii si ya kukosa

22/01/2020
Kamata Matokeo Ya Soka Jana: 👉AzamSportsFederationCupFT Polisi TZ 1-1Mbeya CityPenati (1-3):👉England - Premier LeagueFT ...
22/01/2020

Kamata Matokeo Ya Soka Jana
:
👉AzamSportsFederationCup
FT Polisi TZ 1-1Mbeya City
Penati
(1-3)
:
👉England - Premier League
FT AFC Bournemouth 3 - 1 Brighton & Hove Albion
FT Aston Villa 2 - 1 Watford
FT Crystal Palace 0 - 2 Southampton
FT Everton 2 - 2 Newcastle United
FT Sheffield United 0 - 1 Manchester City
FT Chelsea 2 - 2 Arsenal
:
👉England - Championship
FT Barnsley 0 - 3 Preston North End
FT Middlesbrough 1 - 1 Birmingham City
:
👉Spain - Copa del Rey
FT Real Zaragoza 3 - 1 Mallorca
FT Recreativo Huelva 2 - 3 Osasuna
FT Sevilla 3 - 1 Levante
:
👉Italy - Coppa Italia
FT Napoli 1 - 0 Lazio
:
👉France - League Cup
FT Lyon 2 - 2 Lille
P(4-3)
:
👉Netherlands - KNVB Beker
FT TOP Oss 0 - 2 AZ Alkmaar
FT FC Eindhoven 1 - 2 FC Utrecht
:
👉International - Club Friendlies
FT AGF 0 - 2 AaB
FT Rubin Kazan 1 - 0 Lechia Gdansk
FT Admira Moedling 1 - 1 Grazer AK
FT FC Viitorul Constanta 0 - 0 Sturm Graz FT Al-Uwaynah 0 - 10 Zenit St. Petersburg FT Basel 1 - 2 Grasshoppers
FT FC Orenburg 2 - 3 Slavia Sofia
FT Krylya Sovetov Samara 4 - 1 FK Spartaks
FT Lyngby 3 - 1 Hvidovre
FT AC Horsens 3 - 1 Aarhus Fremad
FT Mattersburg 9 - 0 FCM Traiskirchen
:
👉Egypt - Premier League
FT Tanta 1 - 0 El Gounah
FT Pyramids FC 3 - 1 Misr El-Maqasa
:
👉Morocco - Botola Pro
FT Hassania Agadir 2 - 1 Difaa El Jadida

Kamata Matokeo Ya Soka Jana :👉England - Championship FT West Bromwich Albion 0 - 1 Stoke City:👉Italy - Serie A FT Atalan...
21/01/2020

Kamata Matokeo Ya Soka Jana
:
👉England - Championship
FT West Bromwich Albion 0 - 1 Stoke City
:
👉Italy - Serie A
FT Atalanta 1 - 2 SPAL
:
👉France - Cup
FT St-Pryve St-Hilaire 1 - 3 Monaco
:
👉International - Friendlies
FT Seychelles 2 - 2 Mauritius
:
👉International - Club Friendlies
FT Sevilla 1 - 3 SV Sandhausen
FT Dinamo Moscow 5 - 1 Zaglebie Lubin
FT FK Akhmat 1 - 3 Botosani
FT FC FCSB 3 - 3 Lokomotiv Moscow
:
👉Algeria - Ligue 1
FT JS Kabylie 1 - 0 MC Oran
FT A*O Chlef 0 - 0 USM Alger
:
👉Egypt - Premier League
FT Aswan FC 1 - 3 Wadi Degla FC
FT El Geish 0 - 3 Al-Ittihad Al-Sakandary
:
👉Morocco - Botola Pro
FT Olympic Club de Safi 1 - 2 Wydad Casablanca
:
👉Ghana - Premier League
FT Bechem United 1 - 0 Eleven Wonders FC
:

Mbwana Samatta katika mashindano yote, msimu wa mwisho akiwa Genk.• michezo 79• magoli 42Mshambuliaji wetu mpya👌  🇹🇿
21/01/2020

Mbwana Samatta katika mashindano yote, msimu wa mwisho akiwa Genk.

• michezo 79
• magoli 42

Mshambuliaji wetu mpya👌

🇹🇿

Address

Nchimbi
Kilindoni

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tangaza Nasi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category