The Bluez

The Bluez HABARI ZOTE ZA CHELSEA KWA LUGHA YA KISWAHILI. []

|Follow Us|✓
(3)

:🗣️ Xabi Alonso:“Ni ushindi muhimu kwetu. Tulianza mchezo vizuri sana na tulistahili kuongoza kwa tofauti kubwa ya mabao...
30/08/2026

:
🗣️ Xabi Alonso:

“Ni ushindi muhimu kwetu. Tulianza mchezo vizuri sana na tulistahili kuongoza kwa tofauti kubwa ya mabao.”

“Lakini baada ya kufunga mabao matatu, tulipoteza udhibiti wa mchezo na tukawapa Brighton nafasi ya kurudi.”

“Tunapaswa kujifunza kutokana na hili. Tunahitaji kuwa bora zaidi katika kudhibiti mchezo tunapokuwa mbele.”

“Brighton ni timu nzuri na walituweka kwenye presha kubwa. Mwisho wa siku, jambo muhimu ni kwamba tumepata pointi tatu.”

“Tunafurahia ushindi, lakini tunajua kuna mambo mengi ambayo tunapaswa kuyaboresha.”

30/08/2026

Brighton wanapata bao la 3.....Inakuwa 4-3

Mpira UMEISHA

30/08/2026

🚨🚨 BREAKING 🥲😭

CAICEDO ameumia na nafasi yake imechukuliwa na BARCO

30/08/2026

Go go go goooooaaaall

Palmer anafunga bao kali sana....4-2. Dakika 74

30/08/2026

Kipa anatuokoa tena... Nyama imekuwa ngumu sana... CAICEDO na James wameingia... kocha towa gusto aingie BARCO

30/08/2026

Kocha hali ishakuwa ngumu, leta CAICEDO, barco, ACHEAMPONG na James plz

30/08/2026

Ishakuwa balaa.... Wanapata bao la tatu.

Martinez amefanya kazi kubwa ila haikutosha dakika 64

30/08/2026

Neto na Palmer wanakosa nafasi za wazi.. DAKIKA 59

30/08/2026

Fofana anapata kadi ya njano
Brighton wamekuja moto sana, CAICEDO anafaa kuingia kuzima huo moto

Address

Moshi
Kilimanjaro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Bluez posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share