Michezo780

Michezo780 Sports News || History|| Transfer|
Soka kwa wote Instagram & Twitter :

Kikosi cha Yanga SC kinachocheza mchezo wa Leo dhidi ya Al Ahly.Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gus...
02/12/2023

Kikosi cha Yanga SC kinachocheza mchezo wa Leo dhidi ya Al Ahly.

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

t.me/nbcpremierleague

FULL TIME CAF CHAMPIONS LEAGUE Jwaneng Galaxy 0-0 Simba SCJiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ...
02/12/2023

FULL TIME CAF CHAMPIONS LEAGUE

Jwaneng Galaxy 0-0 Simba SC

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

t.me/nbcpremierleague

FULL TIME NBC PREMIER LEAGUE LEO KMC FC 3-2 Mashujaa FCAwesu Awesu โšฝ๏ธWazir Jr โšฝ๏ธAbdulnassir Assa โšฝ๏ธAdam Adam โšฝ๏ธDaruweshi...
02/12/2023

FULL TIME NBC PREMIER LEAGUE LEO

KMC FC 3-2 Mashujaa FC

Awesu Awesu โšฝ๏ธ
Wazir Jr โšฝ๏ธ
Abdulnassir Assa โšฝ๏ธ
Adam Adam โšฝ๏ธ
Daruweshi Saliboko โšฝ๏ธ

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

t.me/nbcpremierleague

Kikosi cha Simba SC Tanzania kinachoanza leo.
02/12/2023

Kikosi cha Simba SC Tanzania kinachoanza leo.

Rais wa klabu ya Yanga SC, Eng Hersi,  amechaguliwa kuwa M/Kiti wa Bodi ya Chama cha Vilabu vya Afrika (ACA).Eng Hersi S...
30/11/2023

Rais wa klabu ya Yanga SC, Eng Hersi, amechaguliwa kuwa M/Kiti wa Bodi ya Chama cha Vilabu vya Afrika (ACA).

Eng Hersi Said anakuwa ndio Mwenyekiti wa Kwanza wa Chama hicho cha Vilabu vya Afrika (ACA).

Klabu ya Tabora United imetoa Jezi zao mpya watakazotumia kuanzia kwenye michezo yao yote iliyobaki msimu huh 2023/2024....
30/11/2023

Klabu ya Tabora United imetoa Jezi zao mpya watakazotumia kuanzia kwenye michezo yao yote iliyobaki msimu huh 2023/2024.

Rangi ipi imekuvutia na kuipenda ?

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

t.me/nbcpremierleague

Wachezaji wanne wa KMC FC wameteuliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi wa kikosi cha timu hiyo baada ya kuonyesha ...
30/11/2023

Wachezaji wanne wa KMC FC wameteuliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa mwezi wa kikosi cha timu hiyo baada ya kuonyesha kiwango kizuri.

1. Denis Richard (Golikipa)
2. Rahim Shomary (Beki)
3. Ismail Gambo (Beki / Kiungo)
4. Pascal Musa (Kiungo)

Unampa nani Tuzo hiyo ?

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

t.me/nbcpremierleague

Wachezaji wa Yanga SC waliyochaguliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa kikosi cha timu hiyo.1. Khalid Aucho (Ki...
30/11/2023

Wachezaji wa Yanga SC waliyochaguliwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi wa kikosi cha timu hiyo.

1. Khalid Aucho (Kiungo)
2. Pacome Zouzoua (Kiungo)
3. Clement Mzize (Mshambuliaji)

Je, nani mchezaji bora kwa upande wako ?

Unaweza kupiga Kura yako kupitia App ya Yanga SC.

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

t.me/nbcpremierleague

Klabu ya Simba SC imemtangaza Farid Zemiti kuwa Kocha msaidizi wa Kikosi hicho akisaidiana na Kocha mkuu Abdelhak Benchi...
28/11/2023

Klabu ya Simba SC imemtangaza Farid Zemiti kuwa Kocha msaidizi wa Kikosi hicho akisaidiana na Kocha mkuu Abdelhak Benchikha.

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

t.me/nbcpremierleague

Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa Kocha mkuu wa Kikosi hicho Abdelhak Benchikha amewasili nchini Usiku wa kuamkia Leo na...
28/11/2023

Klabu ya Simba SC imetangaza kuwa Kocha mkuu wa Kikosi hicho Abdelhak Benchikha amewasili nchini Usiku wa kuamkia Leo na kupokelewa na CEO Imani Kajula.

Abdelhak Benchikha anachukua nafasi Ya Roberto Oliviera ambaye waliachana naye.

Jiunge nasi Telegram channel link hipo kwenye BIO au gusa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

t.me/nbcpremierleague

Address

Kilimanjaro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo780 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Michezo780:

Share

Category