Young Africans Fans

Young Africans Fans TARIFA MDA WOTE kwa maitaji ya camera man na custing

08/10/2025

╱◥██████◣
│∩│🌠▤│▤▤│
K**a simu yako ni original copy hii 🤣🤣🤣
mtani bhana

07/10/2025
ngekua mcheza mpula angecheza nambangapi vyenye anavyo jua kulenga
06/10/2025

ngekua mcheza mpula angecheza nambangapi vyenye anavyo jua kulenga

''Nimesikia Leo kuwa Bwana Amba Rutii anadai, Jezi feki ni nyingi sana Mitaani hivyo anaeleka kushindwa kutekeleza ahadi...
06/10/2025

''Nimesikia Leo kuwa Bwana Amba Rutii anadai, Jezi feki ni nyingi sana Mitaani hivyo anaeleka kushindwa kutekeleza ahadi zake kwa sababu hapati Faida 😀 Kudadadeki Hawa si ndo Waliokuwa wanasema Eti jezi zao zimekwisha watu wamenunua k**a Njugu .. Kiko wapi sasa? 😀Kati ya Yangasc ambao mlieneza Propaganda kuwa Jezi zimedoda na Nyie wa KUSCAN nani sasa hivi anapita Mitaani na Magari kuuza Jezi? Akili ndogo ni Akili ndogo Siku zote. Wakati ule mnalipa watu mitandaoni kuponda Jezi za Yanga mlitegemea Tungewajibu ili Tuboost Biashara yenu.. Wakubwa Tulishtukia mchezo na TUKALA BATI TU Ambacho hamkukiweka akilini, This Season, Yanga imetoa Jezi na nguo nyingi sana Sokoni. Rudi kwenye Tamasha la YANGA DAY kaangalie Majukwaani, Utaona wengi walivaa Kit tofauti Tofauti za Msimu huu. Kuna waliovaa Training, Form Six zile, Jezi za msimu .. Yaani Raha juu ya Raha🤩🙌🏽Mzigo ulipokata Sokoni, Akili kubwa zikaketi chini na kuja na PLAN B ya kukomesha Jezi Feki.Fisi wakaibuka Eti dawa ya Feki ni Kuscan … Kiko wapi Leo hii😆😆🙌🏽Kizuri kilishajiuza mapema Sokoni Kikaisha Kibovu ndio hiko hiko Barabarani Kinajitembeza 😂😂😂🙌🏽🙌🏽We endelea kutembeza Majezi Yaliododa Hayo .. Watu wanasubiri Uwanja wao wa mazoezi na BASI k**a Ulivyoahidi😂😂'' Ameandika - Alikamwe

picha inajieleza
06/10/2025

picha inajieleza

Kiungo wa Yanga SC, Aziz Ki amewaambia mashabiki wa Yanga kwamba hana mpango wa kuondoka Jangwani, kwani kilichomleta kw...
06/04/2024

Kiungo wa Yanga SC, Aziz Ki amewaambia mashabiki wa Yanga kwamba hana mpango wa kuondoka Jangwani, kwani kilichomleta kwenye timu hiyo bado hajakifanikisha.
"Hata pesa hauwezi kufikia kiwango cha upendo nilio nao kwa klabu hii (Yanga)," ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram akisistiza kwamba kilichomleta ni kutwaa mataji ya kimataifa na bado hajafanikiwa.
Ki amesema hayo baada ya kuhusishwa na miamba ya soka ya Afrika Kusini, Mamelodi Sundowns wanaodaiwa kutaka kumsajili.
"Nina deni kubwa kwenu (mashabiki wa Yanga) na Yanga ni familia yangu," ameeleza zaidi baada ya shabiki mmoja kumuuliza k**a ni kweli anaondoka.

04/04/2024

Meneja wa Habari na Mawasiliano akielezea hali ya Kikosi baada ya siku ya pili ya mazoezi kuelekea mchezo wetu wa robo fainali dhidi ya Mamelodi Sundowns FC Ijumaa.


"Young Africans SC ni Klabu yenye mafanikio zaidi Tanzania. Ni Mabingwa mara 29 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, anayefatia...
03/04/2024

"Young Africans SC ni Klabu yenye mafanikio zaidi Tanzania. Ni Mabingwa mara 29 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, anayefatia amebeba Ubingwa mara 22. Msimu huu mpaka sasa tunaongoza Ligi na In Shaa Allah tutapambana kuongeza Taji la 30 kwenye Kabati letu la Makombe" Rais wa Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng.Hersi Said

K**a kweri unaikubani young Young Africans huyu mpe jina la aina ya gari anafaa aitwe nani?
03/04/2024

K**a kweri unaikubani young Young Africans huyu mpe jina la aina ya gari anafaa aitwe nani?

Address

Kasulu
Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Young Africans Fans posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Young Africans Fans:

Share