Mwisho wa Reli Jogging Club

Mwisho wa Reli Jogging Club Mwisho wa Reli Jogging Club ni kundi la WanaMichezo na Mazoezi lililoko Mkoani kigoma Nchini Tanzania

Mwisho wa Reli Jogging club tunampongeza Katibu wetu Mr .masanja kwa kuuaga ubachera.
04/12/2025

Mwisho wa Reli Jogging club tunampongeza Katibu wetu Mr .masanja kwa kuuaga ubachera.

16/10/2025
Hiii inaitwa hakuna kucheka na wowote.
10/10/2025

Hiii inaitwa hakuna kucheka na wowote.

Jumamosi ya kesho tutakuwa na Route fupi na yenye mvuto tukianzia Kigoma Stesheni hadi Katonga na kurudi hadi Uwanja wa ...
03/10/2025

Jumamosi ya kesho tutakuwa na Route fupi na yenye mvuto tukianzia Kigoma Stesheni hadi Katonga na kurudi hadi Uwanja wa Basketball 🏀 pale Sunset Vista. Kikosi cha SUMA JKT kitakuwepo

Code ya Mishikaki ya Mafuta
16/08/2025

Code ya Mishikaki ya Mafuta

Jumamosi hii mwishO wa Reli Jogging club 👟 Tutakuwa KASULU kwenye Tamasha la Youth 4 Peace Litakalofanyika Jumamosi 16 A...
14/08/2025

Jumamosi hii mwishO wa Reli Jogging club 👟 Tutakuwa KASULU kwenye Tamasha la Youth 4 Peace Litakalofanyika Jumamosi 16 Aug 2025 saa 12:00 Asubuhi hadi Saa 6:00 Mchana . Nauli ya Kwenda na Kurudi ni Tsh 10000/= tuu, Kukosa Lipa Sasa Twenzetu KASULU 👌

Uzinduzi wa Mwisho wa Reli Jogging 👟 club
05/07/2025

Uzinduzi wa Mwisho wa Reli Jogging 👟 club

Tunawakaribisha sana Wananchi wote wa mkoa wa Kigoma kuhudhuria Uzinduzi wa krabu ya   siku ya kesho Jumamosi tarehe 05/...
04/07/2025

Tunawakaribisha sana Wananchi wote wa mkoa wa Kigoma kuhudhuria Uzinduzi wa krabu ya siku ya kesho Jumamosi tarehe 05/07/2025 kuanzia saa 12:30 Asubuhi Tukianza na Mbio fupi ( jogging) kutokea Kigoma Stesheni hadi Maweni Kisha tutaungana na Jogging zote za Ujiji na Kurudi hadi mwanga Community Center.Mgeni rasmi atakuwa Mhe.

Address

Kigoma Town
Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwisho wa Reli Jogging Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category