Hamza TR

Hamza TR Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Hamza TR, Sport & recreation, Masanga, Kigoma.

SIMBA SC NDIYO TIMU YENYE MALENGO TANZANIA.✍🏿Unaweza kujiuliza kwanini? Kwasababu wachambuzi wengi wanasema Simba Sc hai...
05/07/2022

SIMBA SC NDIYO TIMU YENYE MALENGO TANZANIA.

✍🏿Unaweza kujiuliza kwanini? Kwasababu wachambuzi wengi wanasema Simba Sc haina malengo ya Muda mlefu. Sio kosa lao bali ni akili zao za kutaka kulinganisha Simba Sc na Man City au Liverpool

✍🏿 Binafsi Simba ndio timu yenye malengo zaidi kuliko timu yoyote hapa Bongo kwa maana halisi ya Soka la Africa lilivyo.

✍🏿 Simba ndani ya miaka 4 wametimua makocha wanne. Sio mbaya. Kwani kila kocha ameacha alama kwenye timu hapo hakufikia alipokusudia kwenye mkataba.

✍🏿 Huwezi kuwa na kocha alafu ukampa mkataba wa miaka 5 eti unamipango ya Muda Mrefu. πŸ˜‚ timu haina vyanzo vya mapato Wala academy za kuibua vipaji vya wachezaji unategemea kocha aishi miaka mitano bila kutwaa ubingwa au kufikisha timu Mbali kwenye Caf CL Ampo huko ndipo Pesa zilipo.,.tusidanganyane...

✍🏿 Pitso Mosimane licha ya ubora wake kashindwa kuipa ubingwa wa Caf CL Al Ahly msimu huu, kafeli katimuliwa. Simba na Al Ahly ni ipi timu yenye malengo? πŸ˜‚

✍🏿 Vibarua vya makocha vinalindwa kwa mafanikio yao kwenye club na siyo miaka yao ya kudumu kwenye club. Afrika soka Letu lipo chini sana unataka kocha akae hadi aishushe daraja timu ndo mjue kafeli?

πŸ—£ Zoran mwaka mmoja unatosha sana, na akifel hata miezi minne hafiki atimuliwe. Timu inafocus ya kufika Mbali siyo kukaa na kocha wa kuirudisha nyuma.

✍🏿 Zoran anaweza kuongezewa mkataba k**a ataonekana anetimiza malengo, tatizo liko wapi?

NB. Simba SC TSimba SC TanzaniaiSimba SC TanzanianSimba SC Tanzaniau yenye malengo makubwa Nje na ndani ya uwanja japo msimu huu imepitia kipindi kigumu

ππ‘π„π€πŠπˆππ†πŸš¨ Joan Laporta & Jorge Mendes kwa sasa wanajadili uwezekano wa uhamisho wa Cristiano Ronaldo kwenda FC Barcelona...
05/07/2022

ππ‘π„π€πŠπˆππ†

🚨 Joan Laporta & Jorge Mendes kwa sasa wanajadili uwezekano wa uhamisho wa Cristiano Ronaldo kwenda FC Barcelona.

[Chanzo: ]


Usisahau ku like page yetuπŸ™πŸ™πŸ™

""""""""KITASAAA___INONGA"""***πŸ–οΈ
30/04/2022

""""""""KITASAAA___INONGA"""***πŸ–οΈ

Address

Masanga
Kigoma
TR

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hamza TR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share