Pira Birian+255

Pira Birian+255 all about sports

Kunani Triple C
19/05/2022

Kunani Triple C

TAARIFA KUTOKA GEITA GOLD FC.Klabu ya Geita Gold fc inapenda kuwataarifu wapenzi, wadau na Mashabiki wa mpira wa miguu T...
19/05/2022

TAARIFA KUTOKA GEITA GOLD FC.

Klabu ya Geita Gold fc inapenda kuwataarifu wapenzi, wadau na Mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania Kuwa Mchezo wetu namba 192 wa ligi Kuu soka NBC Tanzania dhidi ya Klabu ya Simba sc utachezwa uwanja wa CCM KIRUMBA-MWANZA.

Kutokana na taarifa kadhaa zinazosambaa mitandaoni juu ya mchezo huo sasa tuwatoe hofu mashabiki wa klabu yetu kwamba Jumapili mei 22, 2022 mchezo huo utachezwa uwanja tajwa hapo juu Saa 10:00 Alasiri.

Tunawaomba mashabiki mjitokeze kwa wingi kutazama na kushangilia timu yetu ya Geita Gold

Imetolewa na
Simon J Shija
Mtendaji Mkuu wa Klabu
Geita Gold fc.

Jeshi la Machampion wa nchi linaloenda kuvaana na Washika Mitutu wazee wa PTK papasa Tingisha kung'uka
08/05/2022

Jeshi la Machampion wa nchi linaloenda kuvaana na Washika Mitutu wazee wa PTK papasa Tingisha kung'uka

Kiporo kitakuwa au kitachacha kazi kwenu kusubiri  na kuona
10/04/2022

Kiporo kitakuwa au kitachacha kazi kwenu kusubiri na kuona

Wachimba madini kujaribu bahati yao kwa wananchi Young Africans Sports Club  GEITA GOLD FC
09/04/2022

Wachimba madini kujaribu bahati yao kwa wananchi Young Africans Sports Club GEITA GOLD FC

05/04/2022
Mzigo upo wa kutosha
02/04/2022

Mzigo upo wa kutosha

Kwa mujibu wa baadhi ya taarifa kutoka Tanzania, klabu yenye mafanikio zaidi ya klabu ya Young African Sports Club inamf...
19/03/2022

Kwa mujibu wa baadhi ya taarifa kutoka Tanzania, klabu yenye mafanikio zaidi ya klabu ya Young African Sports Club inamfungia mshambuliaji wa Kimataifa wa Malawi na Orlando Pirates Gabadinho Mhango (29).

Mhango anataka kutoka baada ya kuenguliwa na benchi la ufundi la Pirates kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kwa sababu za kinidhamu.

Robo Fainali ASFC•Simba•Azam Fc•Geita Gold•Yanga•Coastal Union•Pamba•Kagera•Polisi TanzaniaPanga droo yako hapa
17/02/2022

Robo Fainali ASFC
•Simba
•Azam Fc
•Geita Gold
•Yanga
•Coastal Union
•Pamba
•Kagera
•Polisi Tanzania

Panga droo yako hapa

Heri ya kuzaliwa kwa mwana hadithi Pierluigi Collina ambaye anatimiza miaka 62 leo ❤️🎂 Mwamuzi pekee ambaye alikuwa na V...
16/02/2022

Heri ya kuzaliwa kwa mwana hadithi Pierluigi Collina ambaye anatimiza miaka 62 leo ❤️🎂
Mwamuzi pekee ambaye alikuwa na VAR machoni pake 😅
Mwamuzi huyu angeweza kuwasiliana kwa lugha 4 uwanjani (Kifaransa, Kihispania, Kiitaliano na Kiingereza). Kabla ya kila mchezo, alisoma mchezo na wachezaji wa timu atakazoongoza na kujua majina ya wachezaji.
Wakati wa Fainali ya Kombe la Dunia la 2002 huko Japan, Ronaldo alimpa shati lake na mpira. Wachezaji kutoka Brazil na Ujerumani wamempongeza kwa uchezaji wake. Alikuwa mkatili na kadibodi yake, haiba na kuheshimiwa. Wanasoka walikuwa na heshima kubwa kwake na hata hofu, kwa uwepo wake tu. Huyu pia ndiye mwamuzi pekee ambaye amekuwa kwenye koti la mchezo wa video.
Hadithi ya kweli 😍🔥

13/02/2022

Sakooooooooooooo
Simba 1 Assec nill

Kila lakheri wawakilishi pekee wa Tanzania
13/02/2022

Kila lakheri wawakilishi pekee wa Tanzania

Address

Nyaruranga
Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pira Birian+255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category