02/06/2026
TETESI: PACOME >>>> ESPERANCE
🗣️ Yan Sasse anaondoka Esperance Sportive de Tunis baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa takribani miaka mitatu.
🗣️ Miongoni mwa nyota wanaotolewa jicho kuziba nafasi ya Mbrazil huyo ni Proffesa wa boli " Pacome Zouzoua" anayekipiga mitaa ya twiga na Jangwani.
NB: Wananchi mpo tayari kuanza safari mpya bila Pacome.....😀😀😀😀?