04/08/2026
MAEMA ANAREJEA SIMBA SC KWA MKOPO
🗣️ Neo Maema anarejea Simba SC kwa mkopo wa mwaka mmoja akitokea Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini.
🗣️Makubaliano yamefikiwa, huku kocha Barker akimtaka Maema kuwa sehemu ya kikosi chake kwa msimu ujao.
🗣️ Ikumbukwe kuwa, Neo Maema alisaini kandarasi ya miaka miwili hivi karibuni k**a mchezaji wa Mamelod Sundowns.
NB: Njoo upige tena ile migoli ya kideoni....👆👆