Football online

Football online Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Football online, Sports, Kigamboni.

Huu ni ukurasa unahusika kutoa habari za michezo, mijadala ya kimichezo pamoja na maswali ya kimichezo, like ukurasa ili uwe mmoja wa wana familia wa football Online

Beki kisiki πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚
23/08/2022

Beki kisiki πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Š
22/08/2022

πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ”Š

πŸ”“πŸ”œ Tanzania
22/08/2022

πŸ”“πŸ”œ Tanzania

Hawa ndio wachezaji wanaotajwa zaidi kuingia kwenye kikosi cha  Kwenye dirisha kubwa la usajiliHuku .phiri  Pamoja na   ...
04/05/2022

Hawa ndio wachezaji wanaotajwa zaidi kuingia kwenye kikosi cha Kwenye dirisha kubwa la usajili

Huku .phiri Pamoja na wakitajwa kwa asilimia 90, kujiunga na klabu hiyo

To follow instragram

kikosi cha Taifa Stars kitakacho jiandaa na mechi za kirafiki.
15/03/2022

kikosi cha Taifa Stars kitakacho jiandaa na mechi za kirafiki.

Simba sc Vs BerkaneMambo niliyo yaona kwenye mchezo wa leo,1. Kocha wa simba sc Pablo franco , miongoni mwa vitu kocha w...
13/03/2022

Simba sc Vs Berkane

Mambo niliyo yaona kwenye mchezo wa leo,

1. Kocha wa simba sc Pablo franco , miongoni mwa vitu kocha wa simba sc alivyofaulu hii leo ni kujua ubora na udhaifu wa Berkane, kwani Berkane wapo bora sana kwenye mipira ya kutengwa pamoja na mipira ya juu, kocha wa simba sc aliingia na mfumo wa kukabia juu na kuziba mianya yote ya pasi na kupelekea berkane kubutua tu mipira mbele na kukosa option ya kutoa pasi kwa yeyote yule

2. Sakho, utulivu wa hali ya juu kwenye boksi la timu pinzani , uchaguzi mzuri wa sehemu ya kupiga mpira , sioni akiendelea kubaki ligi ya Tanzania kwa miaka 2 zaidi

2. Mohammed Hussen , utulivu speed na umakini wa hali ya juu umemfanya hawe imara na kuzuia mbinu Za winga wa kulia wa berkane kisinda , na kumtoa kwenye mchezo kipnd cha kwanza tu

Yote kwa yote Inonga ni bonge la beki πŸ‘

Una mkubali kwa asilimia ngapi?
31/01/2022

Una mkubali kwa asilimia ngapi?

12/10/2021

Goli la Msuva dhidi ya Benin

Like&share ukurasa wetu

  Cristiano Ronaldo ni mchezaji wa Manchester United.
28/08/2021



Cristiano Ronaldo ni mchezaji wa Manchester United.

Haji Manara Rasmi ni mwananchiπŸ’ͺUpi mtazamo wako?
24/08/2021

Haji Manara

Rasmi ni mwananchiπŸ’ͺ

Upi mtazamo wako?

Wafungaji wa muda wote katika ligi ya mabingwa ulaya  UEFA Cristiano Ronaldo  134 Messi  120
23/08/2021

Wafungaji wa muda wote katika ligi ya mabingwa ulaya UEFA

Cristiano Ronaldo 134
Messi 120

Address

Kigamboni

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Football online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category