Michezo online

Michezo online michezo online inakupa Habari za michezo kutoka kila kona ya dunia, makala kuhusu soka Tembelea hapa

Yanga Sc wamekamilisha usajili wa Winga Bernard Morrison 🇬🇭 k**a mchezaji huru baada ya kumalizana na timu yake ya zaman...
03/07/2022

Yanga Sc wamekamilisha usajili wa Winga Bernard Morrison 🇬🇭 k**a mchezaji huru baada ya kumalizana na timu yake ya zamani Simba Sc https:

Senzo: Tuna ofa mbili za MayeleOfisa Mtendaji mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa amesema klabu imepokea ofa mbili kwa nyota ...
30/06/2022

Senzo: Tuna ofa mbili za Mayele

Ofisa Mtendaji mkuu wa Yanga, Senzo Mazingisa amesema klabu imepokea ofa mbili kwa nyota wao, Fiston Mayele.

Amesema Kaizer Chief na Berkane zimeonyesha kumtaka nyota huyo wa kupachika mabao Yanga.

"Lakini k**a klabu hatumuuzi," amesema Senzo.

"Miamba ya Afrika Kusini Kaizer Chiefs wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele kwa mkatab...
30/06/2022

"Miamba ya Afrika Kusini Kaizer Chiefs wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele kwa mkataba wa miaka 3, tangazo litatolewa karibuni. Mayele alikuwa mfungaji bora 2 kwenye Ligi Kuu ya Tanzania akiwa na mabao 16"- Mwandishi Nuhu Adams

🚨 DEAL DONE| Augustine Okrah ataichezea Simba msimu ujao (2022/23) kwa kandarasi ya miaka 2.
29/06/2022

🚨 DEAL DONE| Augustine Okrah ataichezea Simba msimu ujao (2022/23) kwa kandarasi ya miaka 2.

MALENGO ALIYOPEWA KOCHA ZORAN MAKI🚨 Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa🚨 Kurejesha ubingwa wa Ligi Kuu🚨 Kuchukua Kombe la Shir...
28/06/2022

MALENGO ALIYOPEWA KOCHA ZORAN MAKI

🚨 Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa
🚨 Kurejesha ubingwa wa Ligi Kuu
🚨 Kuchukua Kombe la Shirikisho la Azam.

🇵🇹 | ZORAN MAKI KOCHA MPYA SIMBA SC 🦁Klabu ya Simba imemtangaza rasmi Zoran Manojlovic (Zoran Maki) raia wa Ureno kuwa n...
28/06/2022

🇵🇹 | ZORAN MAKI KOCHA MPYA SIMBA SC 🦁
Klabu ya Simba imemtangaza rasmi Zoran Manojlovic (Zoran Maki) raia wa Ureno kuwa ndiye kocha wao mkuu kuanzia sasa kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Ukiishiwa bando zama hizi sijui unaishije maana ni kumechangamka..Sio nyumbani Si kwa jirani ni heka heka tu....
28/06/2022

Ukiishiwa bando zama hizi sijui unaishije maana ni kumechangamka..Sio nyumbani Si kwa jirani ni heka heka tu....

🚨KOCHA WA MAKIPA SIMBA AOMBA KUONDOKA Uongozi wa klabu ya Simba umethibitsha Kocha wa makipa, Tyron Damons anatarajia ku...
27/06/2022

🚨KOCHA WA MAKIPA SIMBA AOMBA KUONDOKA
Uongozi wa klabu ya Simba umethibitsha Kocha wa makipa, Tyron Damons anatarajia kuondoka baada ya kukamilika kwa msimu.
Tyron amepata kazi katika klabu ya Orlando Pirates ya nchini kwao Afrika Kusini 🇿🇦 na tayari amewasilisha ombi la kutaka kuondoka ili kujiunga na miamba hiyo.

NABI: CHICO NATAKA ABAKI🗣 “Nitaongea na viongozi, natamani kuendelea kufanya kazi pamoja na Chico hapa Yanga kwani ni mm...
24/06/2022

NABI: CHICO NATAKA ABAKI

🗣 “Nitaongea na viongozi, natamani kuendelea kufanya kazi pamoja na Chico hapa Yanga kwani ni mmoja wa wachezaji wazuri na wenye uzoefu ambaye akitumika zaidi atakuwa na msaada katika mashindano ya ndani pamoja na yale ya kimataiafa”

Kiungo wa zamani wa Yanga Sc 🇹🇿 Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu k**a Carlinhos amejiunga na mabingwa ...
23/06/2022

Kiungo wa zamani wa Yanga Sc 🇹🇿 Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu k**a Carlinhos amejiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya Angola 🇦🇴 Petro de Luanda.

Tumeshampata kocha na tutamtangaza soon,kuna maeneo ameshauri tuongeze kwenye usajili mpaka sasa ni asilimia 50%za usaji...
23/06/2022

Tumeshampata kocha na tutamtangaza soon,kuna maeneo ameshauri tuongeze kwenye usajili mpaka sasa ni asilimia 50%za usajili tumekamilisha na tutasajili wachezaji zaid ya watano " Babra Gonzalez

Aziz ki hatukumhitaji ,Kwa Adebayor tulisema lakini Kwa Aziz ki tulimsifia tu,juzi nimeona mara sopu,mara kiyombo,mara m...
23/06/2022

Aziz ki hatukumhitaji ,Kwa Adebayor tulisema lakini Kwa Aziz ki tulimsifia tu,juzi nimeona mara sopu,mara kiyombo,mara mchezaji anaitwa Sylla wa horoya , ni propaganda Tu watu wasubiri taarifa rasmi" Barbara Gonzalez

Address

Makongo Juu
Kigamboni

Telephone

+255658727544

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Michezo online:

Share

Category