Yanga SCTz35

Yanga SCTz35 Young Africans Sports Club �

Mapinduzi Cup 2020
19/12/2019

Mapinduzi Cup 2020

AZAM SPORTS FEDERATION CUP ( ) Mwananchi! Jumamosi tunakutana sehemu moja tu. Uhuru Stadium,Kuisapoti Timu yetu Pendwa D...
19/12/2019

AZAM SPORTS FEDERATION CUP ( )

Mwananchi! Jumamosi tunakutana sehemu moja tu. Uhuru Stadium,

Kuisapoti Timu yetu Pendwa Dhidi ya Iringa United FC. Kutoka mkoani Iringa. !

💚💛
💪 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

🏁 FULL TIME ⌚ ⚒️ Kigoma Utd v Yanga SC (0- 3)⚽ David Molinga 22’⚽ Mrisho Ngasa 81'⚽ David Molinga 90'🤝 Friendly Match
15/12/2019

🏁 FULL TIME ⌚
⚒️ Kigoma Utd v Yanga SC (0- 3)
⚽ David Molinga 22’
⚽ Mrisho Ngasa 81'
⚽ David Molinga 90'

🤝 Friendly Match

Picha inaongea ➕3️⃣ Points 💪🔰
29/11/2019

Picha inaongea ➕3️⃣ Points 💪🔰

Mpira Mapumziko  🆚   (0 - 1)⚽: Sibomana '25.
29/11/2019

Mpira Mapumziko

🆚 (0 - 1)
⚽: Sibomana '25.

👉 Kikosi Chetu Dhidi ya  🏆  🏟️ CCM Kirumba🕓 4.00pm🔰  ⚽  💪 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
29/11/2019

👉 Kikosi Chetu Dhidi ya
🏆
🏟️ CCM Kirumba
🕓 4.00pm

🔰

💪 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

Kesho Ijumaa tar. 29/11/2019  kwenye Dimba la CCM Kirumba Mwanza.     🆚   Saa 🔟:0️⃣0️⃣ JIONI. Mwananchi kesho Zima 📺 Njo...
28/11/2019

Kesho Ijumaa tar. 29/11/2019 kwenye Dimba la CCM Kirumba Mwanza.

🆚
Saa 🔟:0️⃣0️⃣ JIONI. Mwananchi kesho Zima 📺 Njoo Uwanjani Kuisapoti timu yetu Pendwa.
🔰 Zitawale Majukwaani.

✈️ Mwanza Mwanza,🤝 Tukutane CCM Kirumba.📅 Siku ya Ijumaa 29th November 2019.📲   🆚  🏆  🔰  ⚽
26/11/2019

✈️ Mwanza Mwanza,
🤝 Tukutane CCM Kirumba.
📅 Siku ya Ijumaa 29th November 2019.
📲 🆚
🏆

🔰

Mjumbe kamati ya utendaji na Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi Yanga SC, Eng Bahati Mwaseba akikagua eneo lilipo Kigamboni ...
26/11/2019

Mjumbe kamati ya utendaji na Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi Yanga SC, Eng Bahati Mwaseba akikagua eneo lilipo Kigamboni ambalo linataraji kujengwa miradi mbalimbali ya Yanga SC.

Kuna Shughuli mbalimbali zinaendelea ,ambapo eneo hilo linawekwa sawa tayari kwa ujenzi wa viwanja vitatu na hostel za wachezaji wa Yanga SC timu kubwa na timu ya wanawake na timu ya vijana.

Mungu awalinde na kuwasimamia katika utekelezaji wa jambo hili muhimu kwa klabu yetu.

🔥 Next Challenge??   ????   v  🏟️ CCM Kirumba 📅 29th November 2019 🕓 4:00.pm 🔰   ⚽   💪 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
23/11/2019

🔥 Next Challenge
??
???? v
🏟️ CCM Kirumba
📅 29th November 2019
🕓 4:00.pm

🔰

💪 DAIMA MBELE NYUMA MWIKO

🎯🎯
23/11/2019

🎯🎯

Mpira Umeisha
22/11/2019

Mpira Umeisha

Address

Kibada

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga SCTz35 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category