Kasulu United FC

Kasulu United FC UKURASA RASMI WA -KASULU UNITED FOOTBALL CLUB

23/02/2024
Leo tuna Mchezo wa “First League “ dhidi ya MWADUI FC..Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa lake Tanganyika kigoma kuan...
17/02/2024

Leo tuna Mchezo wa “First League “ dhidi ya MWADUI FC..Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa lake Tanganyika kigoma kuanzia majira ya saa 10:00 jioni Mashabiki na wadau wa karibuni sana 🙏🏽🙏🏽

wachezaji wakiwa wamepumzika  baada ya kuwasili uwanjani
06/02/2024

wachezaji wakiwa wamepumzika baada ya kuwasili uwanjani

04/02/2024
Wachezaji wa Kasulu United FC wakipata Chakula baada ya Mzoezi.
04/02/2024

Wachezaji wa Kasulu United FC wakipata Chakula baada ya Mzoezi.

Siku ya Jumanne Januari 02 2024 tutakua na Mchezo wa First league dhidi ya Mapinduzi FC..Mchezo huo utachezwa kwenye uwa...
01/01/2024

Siku ya Jumanne Januari 02 2024 tutakua na Mchezo wa First league dhidi ya Mapinduzi FC..Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Nyamagana Mwanza

Siku ya Jumamosi Disemba 23 tutakua na mchezo wa “First League “  dhidi ya Rhino Rangers FC kutoka Mkoani Tabora...Mchez...
18/12/2023

Siku ya Jumamosi Disemba 23 tutakua na mchezo wa “First League “ dhidi ya Rhino Rangers FC kutoka Mkoani Tabora...Mchezo huo utachezwa kwenye uwanja wa Alli Hassan Mwinyi Mkoani Tabora.

Address

Umoja Street
Kasulu
47330

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kasulu United FC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category