Kocha Mchezaj

Kocha Mchezaj Kwa habar za michezo tu

Kuna nini leo hapa mjini. Kocha Mchezaj
04/12/2022

Kuna nini leo hapa mjini.


Kocha Mchezaj

๐Ÿšจ Chama Clatous  Ni Mchezaji๐ŸŽฏ----------------------------------------------------Ninatazamia kukuona ukipiga hela kupiti...
04/12/2022

๐Ÿšจ Chama Clatous Ni Mchezaji๐ŸŽฏ

----------------------------------------------------
Ninatazamia kukuona ukipiga hela kupitia kwa kushare posti hii kuelekea msimu wa sikukuu. - Gusa fuata na udondoshe maoni useme jambo!
Bonyeza Link๐Ÿ‘‡??๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Tunakuomba mpenzi mfuatiliaji wa k**a unapendezwa na taarifa zetu share posts kwa wenzako kwa magroup ya facebook na WhatsApp.


๐Ÿšจ FISTON Mayele kuikosa Prisons leo.KKocha MchezajMchezaj
04/12/2022

๐Ÿšจ FISTON Mayele kuikosa Prisons leo.

KKocha MchezajMchezaj

Kocha Mchezaj
04/12/2022

Kocha Mchezaj

๐Ÿ—ฃ๏ธMimi Tanzania ningependa kucheza Simba Sc kwa sababu pale Yanga Kuna ndugu zangu Djuma Shabani Fiston Mayele Jesus Mol...
04/12/2022

๐Ÿ—ฃ๏ธMimi Tanzania ningependa kucheza Simba Sc kwa sababu pale Yanga Kuna ndugu zangu Djuma Shabani Fiston Mayele Jesus Moloko natamani nichezee Simba ili nimpe ushindani Mayele

โœ๐ŸฟManeno ya Caser Manzoki wakati yupo Tanzania kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Young Africa's kwenye tamasha la Siku ya mwananchi ambapo Vipers waliibuka na ushindi wa magoli 2-0 siku ya mwananchi wakaitia doa

Huenda Simba Sc wakakamilisha Usajili wa manzoki dirisha dogo Kumbuka Manzoki alitakiwa kutua Simba Sc lakini klabu ya Vipers ya Uganda wakafanya fitna na kuamua kumuuza kwenda nchini ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณChina kwa mkataba wa miezi sita .

Pia Young Africa's wanahitaji Saini ya Mshambuliaji huyo lakini yeye hayupo tayari kutua Jangwani.

Hata ungekua wewe ukacheze shirikisho wakati Kuna CAF Champions League ukalale Jangwani Kule wakati Simba wapo Kariakoo pale

Powered by KochKocha MchezajeKocha Mchezajlow ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Mnajua ni kwa nini Simba mara zote wamekua wakihaha kuhusu kusajili Kiungo mkabaji?Ni kwa sababu hawana mtu K**a Khalid ...
04/12/2022

Mnajua ni kwa nini Simba mara zote wamekua wakihaha kuhusu kusajili Kiungo mkabaji?

Ni kwa sababu hawana mtu K**a Khalid Aucho ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ pale katikati, na Yanga Eneo la Kiungo linaonekana lipo stable ni kwa sababu ya huyu Mwamba.

Ivi Mnajua Mbadala wa Aucho yanga ni Zawadi Mauya? (mzee wa backpass) Embu imagin Mechi k**a ile ya Tunisia Angecheza Mauya badala ya Aucho.

Naandika Haya kwa sababu Jana baada ya gazeti la mwanaspoti Kuandika tetesi za Aucho kutaka kuondoka yanga na mimi Kupitia Ukurasa wangu hapa niliandika lakini kilichonishangaza ni Comments zenu wananchi wengi mlijibu kwamba muache aende ivi Mpo serious kweli?

Umuache Aucho aondoke Huku mbadala wake akiwa ni Gift utakua na akili kweli? K**a hili litatokea Wananchi mtahaha sana mpaka kuja kupata mbadala wa Aucho pale Yanga nipo nimekaa pale๐Ÿ‘‰

Wito wangu viongozi wa Yanga wakae na Aucho wampe mkataba Mpya, k**a ataondoka basi wawe na Uhakika wa kumpata Bobosi Byaruhanga ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ

KochaKocha MchezajzKocha Mchezajamchezaj

โ€œBobosi in...... Okwa outโ€ Kiungo wa Vipers BoBoSi rasmi  sasa ni Msimbazi!  Mwamba huyu kujiunga na Wana Runyasi! Na Ok...
04/12/2022

โ€œBobosi in...... Okwa outโ€

Kiungo wa Vipers BoBoSi rasmi sasa ni Msimbazi! Mwamba huyu kujiunga na Wana Runyasi!

Na Okwa Dirisha dogo ataondoka kupisha usajili huu.

Kocha Mchezaj

OKWI AITABIRIA UBINGWA SIMBA.๐Ÿ—ฃ๏ธAzungumza haya"Kutokana na uzoefu nilionao juu ya ligi kuu ya Tanzania kwa miaka kadhaa h...
03/12/2022

OKWI AITABIRIA UBINGWA SIMBA.

๐Ÿ—ฃ๏ธAzungumza haya

"Kutokana na uzoefu nilionao juu ya ligi kuu ya Tanzania kwa miaka kadhaa hivi ambayo nilipitia uzoefu huo, kwasasa ni kwamba bado sijaona timu zilizofikia level za Simba Sc na Yanga katika ligi hiyo, ukiniuliza kuhusu ubingwa mwaka huu nitakuambia vilabu vyote vinanafasi yakutwaa ubingwa wa msimu huu NBC, Ila kipaumbele nitakwambia Simba Sc kwasababu nazozijua mimi.

"Kwa kuitazama nafasi ya Simba katika msimamo wa ligi kuu ya Tanzania huwezi kusema tayari wamekwisha poteza ubingwa kwani hata katika misimu tuliokuwa pamoja tulikuwa tukiongoza na kuchukua ubingwa tukitokea katika nafasi k**a hii waliopo sasa hivi, hivyo bado naiona Simba inaenda kuchukua ubingwa msimu huu bila shaka yoyote.

"Lakini pia uwekezaji unaoendelea kufanyika katika klabu ya Simba ni tofauti na vilabu vingine na nina imani kubwa kuelekea dirisha dogo hili watafanya makubwa zaidi kwa kuongeza wachezaji wenye viwango zaidi katika nafasi tofauti tofauti.

"Hivyo kwa kuyasema hayo ni kwamba bado nina mapenzi na klabu ya Simba na naiombea kuendelea kufanya makubwa zaidi na zaidi kwa sababu kwa sifa aliyo nayo hadi sasa hakuna klabu katika ligi ya bongo inayoweza kuishusha sifa hiyo.

KKocha MchezajMKocha Mchezaj

AUCHO KUONDOKA YANGA.Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumamosi ya December 3,2022 limeripoti Kuwa Kiungo wa Kima...
03/12/2022

AUCHO KUONDOKA YANGA.

Kwa Mjibu wa Gazeti la Mwanaspoti la Leo Jumamosi ya December 3,2022 limeripoti Kuwa Kiungo wa Kimataifa wa Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na Klabu ya Yanga SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ,Khalid Aucho ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ amegoma kuongeza Mkataba Mpya ndani ya Kikosi Cha Yanga na anataka kuondoka Klabuni hapo.

Mkataba wa Aucho ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ na Yanga unatamatika Mwishoni mwa Msimu huu na inaelezwa Kuwa Tayari amepata ofa nono kutoka Kwa Moja ya Klabu inayoshiriki Ligi Kuu Nchini Saudi Arabia.

๐Ÿคฒ Mwisho Tunakuomba mdau uliesoma post hii Usiache kutu Follow Page hii
Kocha MchKocha MchezajKocha Mchezaj

๐๐ซ๐ž๐š๐ง๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ Kiungo Wa Yanga raia wa Ghana Bernnard Morrison Ambaye hayupo na kikosi kwa sasa inatajwa kuwa amevunja m...
02/12/2022

๐๐ซ๐ž๐š๐ง๐ค๐ข๐ง๐  ๐๐ž๐ฐ๐ฌ

Kiungo Wa Yanga raia wa Ghana Bernnard Morrison Ambaye hayupo na kikosi kwa sasa inatajwa kuwa amevunja mkataba na Klabu hiyo yenye maskani yake Jangwani Dar es salaam

Morrison inatajwa kuwa amevunja mkataba huo ambao ulikuwa umebakia mwaka 1 Na miezi 6

Morrison kwa sasa ni mchezaji Huru na kuna Uwezekano mkubwa Akaendelea kubaki katika Ligi ya Tanzania lakini kwa Sasa hatokuwepo Mjini ๐Ÿ˜ƒ

#๐…๐จ๐ฑ๐ฌ๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ

Bobosiโœ…โœ…โœ…
02/12/2022

Bobosiโœ…โœ…โœ…

Simba kuanza na Eagles FC kwenye Kombe la Shirikisho la Azam 2022/23.
30/11/2022

Simba kuanza na Eagles FC kwenye Kombe la Shirikisho la Azam 2022/23.



Address

Tanga
Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kocha Mchezaj posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kocha Mchezaj:

Share