03/10/2024
Tetesi ⚪🔴
Vyanzo vya Ndani vinaeleza Mchezaji Wa klabu Ya Azam FC Feisal Salum 'Fei Toto' hana Mpango Wa Kuendelea Kusalia Klabuni hapo sababu Haoni Mipango thabiti Ya Klabu hiyo Kutwaa Mataji ya Ndani wala na Kimataifa.
Simba Wanamfatilia Kwa Ukaribu Sana
Chanzo: Tetesi Arena