Pentagon Football CLUB

Pentagon Football CLUB 2022 PENTAGON FOR THE BETTER FUTURE...

NAWASALIMU KWA JINA PENTAGON WENZANGU KATIKA KUIJENGA TIMU YETU,,,.. siku ya ijumaa kutakuwa na mechi ya ufunguzi wa mwa...
11/01/2022

NAWASALIMU KWA JINA PENTAGON WENZANGU KATIKA KUIJENGA TIMU YETU,,,.. siku ya ijumaa kutakuwa na mechi ya ufunguzi wa mwaka 2022 wa TIMU YETU ya PENTAGON.. ITAKUWA 2022 PENTAGON FOR THE BETTER FUTURE..., Itakuwa mechi Kati ya PENTAGON SENIOR (A) VS PENTAGON (B).. mechi hii itakuwa na zawadi kwa mshindi na zawadi za wachezaji watakao fanya vzur, pia itaambatana na utoaji wa tuzo za wachezaji bora KATIKA msimu 2020-2021, ugawaji wa kadi zitakazo tumika KATIKA kuangalia NBC premier league... Mchezo utaanza saw kuni kamili ili tuwahi kumaliza kupisha shughuli za utoaji zawadi na kadi kuendelea.. UWANJA WA IYUNGA SEC.

Address

Iyunga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pentagon Football CLUB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category