Dodoma Volleyball Club - Dom Vc

Dodoma Volleyball Club - Dom Vc Is one of the best volleyball team in TANZANIA
Deals with Training,Improving skills...
Lets keep the ball flying..

Je Ni team Gani unaiamini. Chagua team ya kuweza kuisapoti na kushangilia.. Haya ndo majina ya Vijana WA Kazi watakao we...
11/02/2022

Je Ni team Gani unaiamini. Chagua team ya kuweza kuisapoti na kushangilia.. Haya ndo majina ya Vijana WA Kazi watakao weza kupambana hapo kesho katika viwanja vya KILIMAN PUB. Mikasa itaongeaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Baada ya Ubabe Kutokea  kwa watoto WA jirani Sasa Ni zamu ya Magwiji WA volleyball mjini Dodoma. Nani atashinda mechi hi...
10/02/2022

Baada ya Ubabe Kutokea kwa watoto WA jirani Sasa Ni zamu ya Magwiji WA volleyball mjini Dodoma. Nani atashinda mechi hii ya Kugamble wanaume wameweka mzigo na kuhakikisha ndani ya uwanja hakuna mpira WA point inapatikana kizembe, Ikumbukwe wachezaji Ni Wanne kila team. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Pick your team to join and celebrate with. πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Jumamosi hii tarehe 12/02/2022
Katika viwanja vya kiliman pub.

Karibuni katika msimu mwingine wa mashindano pendwa ya ONE AFRICA GAMES, ni Mashindano ya wazi yatakayoshirikisha timu m...
04/04/2021

Karibuni katika msimu mwingine wa mashindano pendwa ya ONE AFRICA GAMES, ni Mashindano ya wazi yatakayoshirikisha timu mbalimbali kutoka mikoa mbalimbali ndani ya TANZANIA,
Thibitisha timu yako mapema kuweza kuwekwa kwenye ratiba.
Mashindao yatafanyika iringa katika chuo cha mkwawa,
tarehe 08/05/2021




Sponsored by TOSTI.

Weekend hii JUMAMOSI katika viwanja vya Chuo cha CBE Dodoma kutakuwa na MECHI YA Volleyball kati ya Mambo POa na CBE kar...
12/06/2020

Weekend hii JUMAMOSI katika viwanja vya Chuo cha CBE Dodoma kutakuwa na MECHI YA Volleyball kati ya Mambo POa na CBE karibuni sana wOTE.

Mechi ya kirafiki kati ya CHAMWINO IKULU na NHIF mechi itafanyika siku ya Jumatano tarehe 10 JUNE 2020,katika viwanja vy...
06/06/2020

Mechi ya kirafiki kati ya CHAMWINO IKULU na NHIF mechi itafanyika siku ya Jumatano tarehe 10 JUNE 2020,
katika viwanja vya KILIMANI
Karibuni wote.

Kumbuka kunawa mikono yako kwa sabuni na Maji tiririka.

kwa matukio na picha zaidi like   FARU Volleyball CLUB instagram
07/02/2018

kwa matukio na picha zaidi like FARU Volleyball CLUB instagram

FARU VOLLEYBALL CLUB.kwa matukio na picha mbalimbali kuhusu timu ya faru like page yao FARU Volleyball CLUBpia instagram...
07/02/2018

FARU VOLLEYBALL CLUB.
kwa matukio na picha mbalimbali kuhusu timu ya faru like page yao FARU Volleyball CLUB
pia instagram wanapatikana kwa

14/12/2017

Onyesha upendo ukiwa k**a mwanafamilia ya volleyball nchini..
fuata/follow na penda/like ukarasa/page Nasoro Sharifu Volleyball Accademy kuwapa nguvu watoto na kusambaza habari nzuri kwa jamii...

Siku k**a ya leo miaka saba mbele itakumbukwa.Uwakilishi wa Taifa ulipoanza kuandaliwa.Ni nasoro sharifu Volleyball acad...
14/11/2017

Siku k**a ya leo miaka saba mbele itakumbukwa.
Uwakilishi wa Taifa ulipoanza kuandaliwa.
Ni nasoro sharifu Volleyball academy imebeba jukumu la kuwaandaa watoto kuicheza volleyball ya kisasa.
Like na follow instagram kwa maelezo na taarifa juu kitu hicho.
Instagram@nsva_official
FacebookNasoro Sharifu Volleyball Accademy

Instagram
08/10/2016

Instagram

We count Hour to MOSHI...!!!!More info follow us Instagram
08/10/2016

We count Hour to MOSHI...!!!!
More info follow us Instagram

Address

Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dodoma Volleyball Club - Dom Vc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dodoma Volleyball Club - Dom Vc:

Share

Category