26/08/2026
Tunawakumbusha Wanachama Wetu Wote Kulipia Ada Zao Za Uanachama Kabla Ya August 31
Kwani Kutakuwapo Na Mkutano .
Wakujadili Mambo Makubwa Ya Club Shabiki Hatoruhusiwa Kuingia Katika Mkutano Huo .
Lipa Kuepuka Usumbufu
Account Number
058172000444
Au M-Koba Ya Toto African Sports