JAMES Alex SIMBA

JAMES Alex SIMBA [email protected] nimshabiki Simba Tanzania � pia nimwanachama ssc pia nikiongozi Simba mkoa wa GEITA ngazi ya wilaya ya GEITA K**a msemaji tawi

17/01/2026
*TWENZETU FAINALI**BENJAMINI MKAPA*ni fainali ya CAFCC *SIMBA SC VS RS BERKANE*NAULI KWENDA NA KURUDI TOKA GEITA Tshs,10...
15/05/2025

*TWENZETU FAINALI*
*BENJAMINI MKAPA*

ni fainali ya CAFCC
*SIMBA SC VS RS BERKANE*

NAULI KWENDA NA KURUDI TOKA GEITA
Tshs,100,000=/
Laki mojatuu.
Tuma kwa mhasibu mkoa
+255763316121
GRADYS JOSIAH BURANGWAHE
________________________
Kumbuka kutuma na YAKUTOLEA Ndugu mwana Simba Ukisha tuma nauli
Tupigie

Tuma mapema uwe na UHAKIKA wa safari
Nafasi zilizo baki chache

Lipia sasa mda huuu tumebakiwa siku 7 za mandalizi kabla yakuondoka

Kuondoka ni tare 23-5-2025 saa 10:00 jioni Geita

Tutakuwa na vituo vinne
Vyakuwakuta wana Simba

1-Ofisi ya Simba mkoa shilabela,

2-Na katoro sitendi

3-Ushilombo

4-Na masumbwe

Wote tutakusanyikia maeneo HAYO Kisha safari inaanza,

Hiii TUNABEBA
Simba NGUVU MOJA

“HATUISHII HAPA”: Ndivyo anavyosema Mnyama Simba akiwa dimba la ugenini leo, akiisaka fainali ya Kombe la Shirikisho Afr...
27/04/2025

“HATUISHII HAPA”: Ndivyo anavyosema Mnyama Simba akiwa dimba la ugenini leo, akiisaka fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini.

Mnyama anaingia katika mchezo huu akiwa na faida ya goli 1 - 0 alilopata mechi ya kwanza.

Mnyama anahitaji sare au ushindi kutinga fainali.

Mechi hiinitapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

Hii siku nayo inaenda Kuisha HIVYO  Vile wana Simba  tunaisubili mechi dhidi yetu na Kmc Ndugu wawili Watumiao uwanja Mm...
03/11/2024

Hii siku nayo inaenda
Kuisha HIVYO

Vile wana Simba tunaisubili mechi dhidi yetu na Kmc
Ndugu wawili Watumiao uwanja
Mmoja Kmc komplex

✍️KARIBUNI watanzania Group hili nimali yawatanzania Wote Taarifa zote humu zinapatikana✍️. Kasoro tarifa za matusi kama...
27/10/2024

✍️KARIBUNI watanzania Group hili nimali yawatanzania Wote Taarifa zote humu zinapatikana✍️.

Kasoro tarifa za matusi kamavile ngono namatusi mengine yahovyo hayaruhusiwi by,utawara TANZANIA 🇹🇿 MOJA 👏

https://chat.whatsapp.com/L7Cgs3WWlKaHSDF5Ryxkdb

Tawi Simba lwamgasaAungurumapo simba lwamgasa
23/07/2024

Tawi Simba lwamgasa

Aungurumapo simba lwamgasa

23/07/2024
Somba somba anana 😂
10/03/2024

Somba somba anana 😂

Makamanda waleo
06/03/2024

Makamanda waleo

Address

Www. Jamesalexsimba. Com
Geita
HAXCH

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAMES Alex SIMBA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to JAMES Alex SIMBA:

Share