K-sports

K-sports sports league ⚽⚽ &

07/12/2025

K-sports
Simba Queens Tanzania Leo itafunga

🚨 Barcelona wana wasiwasi kwa sababu Lamine Yamal amekuwa “adui wa umma namba 1” kwa mashabiki wa timu pinzani kwenye me...
27/11/2025

🚨 Barcelona wana wasiwasi kwa sababu Lamine Yamal amekuwa “adui wa umma namba 1” kwa mashabiki wa timu pinzani kwenye mechi za ugenini. ⚠️‼️

Imejitokeza Stamford Bridge, dhidi ya Brugge, na kwenye Bernabéu, kwa mujibu wa Diario Sport.

Arsenal inaweza kuchukua UCL, lakini inategemea mambo kadhaa:Ubora wa kikosi msimu husikaMikakati ya Arteta kwenye mechi...
27/11/2025

Arsenal inaweza kuchukua UCL, lakini inategemea mambo kadhaa:

Ubora wa kikosi msimu husika

Mikakati ya Arteta kwenye mechi kubwa

Ubora wa washindani k**a Real Madrid, Bayern, Man City n.k.

Mazoezi, afya ya wachezaji na consistency

Arsenal imekuwa timu imara chini ya Arteta, na k**a wataendelea na kiwango chao cha juu, kuongeza wachezaji sahihi na kutokuwa na majeruhi muhimu—wana nafasi nzuri kabisa ya kupambana hadi mwisho.

Kwa kifupi: Inawezekana, lakini wanahitaji kuwa bora sana kwenye hatua za mwisho za mashindano.

“He will be the top scorer of the UCL and he will also win the Ballon d’Or. He works very hard — let’s pray that Madrid ...
27/11/2025

“He will be the top scorer of the UCL and he will also win the Ballon d’Or. He works very hard — let’s pray that Madrid reaches the UCL final.”

27/11/2025

Arsenal celebration

Rice
27/11/2025

Rice

Kila nikiwaza aliwahi kuletewa Mtu mezani hii mali kuwa chukua huyu Fundi atasaidia, basi naishia kusonya tu, basi ndio ...
25/11/2025

Kila nikiwaza aliwahi kuletewa Mtu mezani hii mali kuwa chukua huyu Fundi atasaidia, basi naishia kusonya tu, basi ndio hivyo ishakuwa😀

➡️ “Tabiri matokeo ya mechi ya Chelsea dhidi ya Barça! 🍿🤹‍♂️”
25/11/2025

➡️ “Tabiri matokeo ya mechi ya Chelsea dhidi ya Barça! 🍿🤹‍♂️”

🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rashford amerikava  atakuwepo zidi ya CHELSEA. ❤️💙
25/11/2025

🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Rashford amerikava atakuwepo zidi ya CHELSEA. ❤️💙

“Liverpool FC wanajiandaa kutoa dau la rekodi la €159m kwa mchezaji wa PSG João Neves, kwa mujibu wa Fichajes 😲💰”
25/11/2025

“Liverpool FC wanajiandaa kutoa dau la rekodi la €159m kwa mchezaji wa PSG João Neves, kwa mujibu wa Fichajes 😲💰”

Beki wa simba deruck ni beki bora kwasasa Tanzania akuna k**a yeye
25/11/2025

Beki wa simba deruck ni beki bora kwasasa Tanzania akuna k**a yeye

Address

Geita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when K-sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category