fountaingatefc

fountaingatefc Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from fountaingatefc, Sports, Gairo.

Kikosi chetu kimeshafanya mazoezi mepesi ya kuweka miili sawa kbla ya mchezo kuanza ...FOUNTAIN GATE FC VS GWAMBINA     ...
08/01/2022

Kikosi chetu kimeshafanya mazoezi mepesi ya kuweka miili sawa kbla ya mchezo kuanza ...

FOUNTAIN GATE FC VS GWAMBINA







 ⚽️ Hatimaye siku tuliyoisubiri  ya kwenda kuzikusanya pointi tatu imefika salama .Tunashukuru  Mungu tumeamka salama wa...
08/01/2022

⚽️

Hatimaye siku tuliyoisubiri ya kwenda kuzikusanya pointi tatu imefika salama .

Tunashukuru Mungu tumeamka salama wachezaji wote wapo vizuri , Tunachosubiri ni muda ufike tuende kukuchukua pointi zetu kwa Gwambina .

Tumejipanga vizuri tumefanya mazoezi ya kutosha na hadi sasa tuna imani tunaenda kushinda mchezo huu .

Tunawaheshimu sana Gwambina lakini kwa wakati huu tunazihitaji sana pointi tatu kuliko kitu kingne chochote kwa leo mtatusamehe sanaa tuna jambo zitoo sanaa..........

Mashabiki karibuni sana tuisapoti timu yetu ,

..............




Address

Gairo
67701

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when fountaingatefc posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category