Mayenja Sports13

Mayenja Sports13 KWA MATANGAZO 0677413491πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kusini Sports13 twitter

Rashford arejea ndani ya Manchester united.
16/06/2026

Rashford arejea ndani ya Manchester united.

Aibu utaona wewe 🀣🀣
16/06/2026

Aibu utaona wewe 🀣🀣

Wazee wa Roho mbaya 🀣🀣
14/06/2026

Wazee wa Roho mbaya 🀣🀣

12/06/2026

Mr ZooooomπŸ“ΈπŸ“Έ

Hongera Simba queen Tanzania πŸ†πŸ†πŸ†
12/06/2026

Hongera Simba queen Tanzania πŸ†πŸ†πŸ†

Kocha Nasreddine Nabi (60) πŸ‡ΉπŸ‡³ amefikia makubaliano ya kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦ kwaajili ya kuitumi...
12/06/2026

Kocha Nasreddine Nabi (60) πŸ‡ΉπŸ‡³ amefikia makubaliano ya kuwa kocha mkuu wa klabu ya Raja Casablanca πŸ‡²πŸ‡¦ kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao wa 2026-27. πŸ’šπŸ”

Naby anachukua nafasi ya Fadlu Davis ambae amefukuzwa Jana

Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA Imetoa siku 45 tu kwa Klabu ya Yanga iwe imewalipa Klabu ya Tp Mazembe pesa za...
12/06/2026

Shirikisho la mpira wa miguu Duniani FIFA Imetoa siku 45 tu kwa Klabu ya Yanga iwe imewalipa Klabu ya Tp Mazembe pesa zao za mauzo ya mshambuliaji Jean Baleke.

FIFA imesema k**a hawatalipa ndani ya siku 45 basi Klabu ya Yanga watafungiwa kutosajili katika madirisha matatu mfululizo.

Rihanna kajizaa Mwenyewe.πŸ™ŒπŸ™Œ
11/06/2026

Rihanna kajizaa Mwenyewe.πŸ™ŒπŸ™Œ

Klabu ya Young Africans SC  imefikia makubaliano ya kuachana na beki wao wa kulia Israel Mwenda πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa kuvunja mkataba w...
11/06/2026

Klabu ya Young Africans SC imefikia makubaliano ya kuachana na beki wao wa kulia Israel Mwenda πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa kuvunja mkataba wake wa miaka mitatu!.

Muda wowote kuanzia sasa kocha Fadlu Davis atafukuzwa kazi katika Klabu yake ya Raja Casablanca baada ya matokeo mabaya ...
10/06/2026

Muda wowote kuanzia sasa kocha Fadlu Davis atafukuzwa kazi katika Klabu yake ya Raja Casablanca baada ya matokeo mabaya ya Klabu iyo.

Address

Area D
Dodoma
13

Telephone

+255677413491

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mayenja Sports13 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mayenja Sports13:

Share