Soka Kiganjani

Soka Kiganjani �HABARI ZA MICHEZO
�BURUDANI
�TETESI ZA USAJILI
�Follow Page kwa habari zote za moto za Michezo na Burudani
(1)

🚨 MOLOKO APEWA MKATABAViongozi wa Yanga wamemalizana na winga Jesus Moloko 🇨🇩 kwa kumpa mkataba wa mwaka mmoja ni baada ...
16/06/2023

🚨 MOLOKO APEWA MKATABA

Viongozi wa Yanga wamemalizana na winga Jesus Moloko 🇨🇩 kwa kumpa mkataba wa mwaka mmoja ni baada ya kuonyesha kuimarika zaidi msimu huu.

TETESI K**A TETESIHili ni swali ambalo kila mpenzi na shabiki wa soka nchini anajiuliza...?Swali hili linakuja baada ya ...
15/06/2023

TETESI K**A TETESI

Hili ni swali ambalo kila mpenzi na shabiki wa soka nchini anajiuliza...?

Swali hili linakuja baada ya aliyekuwa kocha wa yanga prof mohamed nabi kupendekeza jina la MVP wa NBC PREMIER LEAGUE, Fiston Kalala Mayele kusajiliwa na timu ya Kaizer Chiefs ambayo yeye anaitumikia kwa sasa.

Ikumbukwe kuwa hawa wote wamekuwa kwenye misimu mizuri sana na wanachi ambapo wameweza kutwaa ngao ya jamii, ubingwa wa ligi kuu,na ubingwa wa kombe la ASFC

NGUVU YA PESA, NGUVU YA BAKHRESA💥Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Sc  amejiunga na Azam Fc kwa kandarasi ya miaka mitatu. Aw...
24/12/2022

NGUVU YA PESA, NGUVU YA BAKHRESA💥

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Sc amejiunga na Azam Fc kwa kandarasi ya miaka mitatu. Awali mkataba wa Feisal ya Yanga Sc ulikuwa uishe mwaka 2024.

Kilichotokea ni kulipwa kwa fedha (Signing Fee) pamoja na Mishahara ya miezi mitatu.

✅Feisal Salum..... Ni mwana lamba lamba

Beki ya Mpira, unampa asilimia ngapi....?
17/11/2022

Beki ya Mpira, unampa asilimia ngapi....?

MLete mzungu, mlete mzungu Anawaambia "Mnasemaaa ? 👂, nimekuja sasa"
20/08/2022

MLete mzungu, mlete mzungu

Anawaambia

"Mnasemaaa ? 👂, nimekuja sasa"

Za ndani kabisa, makamu wa rais wa mabingwa wa nchi amemaliza shughuli iliyompeleka nchini UgandaSisi ni mashahidi tuLik...
18/08/2022

Za ndani kabisa, makamu wa rais wa mabingwa wa nchi amemaliza shughuli iliyompeleka nchini Uganda

Sisi ni mashahidi tu
Like page yetu

TANZIA; Msanii wa Comedy maarufu K**a ERIK amefariki dunia,😭😭😭😭😭😭😭 R.I.P 🙏🙏Msiba upo Kibaha
17/08/2022

TANZIA; Msanii wa Comedy maarufu K**a ERIK amefariki dunia,😭😭😭😭😭😭😭 R.I.P 🙏🙏

Msiba upo Kibaha

DERBY YA KARIAKOO MAANDALIZI NI 100%: Ni   hapa dimbani Benjamin MkapaMechi saa 1:00 usiku mbungi itakuwa LIVE
13/08/2022

DERBY YA KARIAKOO MAANDALIZI NI 100%: Ni hapa dimbani Benjamin Mkapa

Mechi saa 1:00 usiku mbungi itakuwa LIVE

09/08/2022
DARIO FEDERICO ANUKIA JANGWANIUongozi wa Yanga hupo Katika hatua za mwisho kabisa kumsajili mshambuliaji raia wa Brazil ...
09/08/2022

DARIO FEDERICO ANUKIA JANGWANI

Uongozi wa Yanga hupo Katika hatua za mwisho kabisa kumsajili mshambuliaji raia wa Brazil Dario Federico Kutoka Singida big star.

Yanga wanatakiwa kumtoa Jésus Ducapel Moloko kwenda Singida big star K**a sehemu ya dili la mshambuliaji Dario Federico.

Kesho mchezaji Dario Federico atakuja jijini Dar es salaam akitokea Morogoro ambapo timu ya Singida big star ipo kwa sasa imeweka kambi.Kuja kumalizana na Yanga kwa kusaini mkataba 📃✍️.

Mwamba na nusu.......Huyu ndiye atakayepeleka huzuni upande wa pili
08/08/2022

Mwamba na nusu.......

Huyu ndiye atakayepeleka huzuni upande wa pili

Nelson okwaaaaaaaaaChuma cha piliSimba 2-0 Saint George
08/08/2022

Nelson okwaaaaaaaaa
Chuma cha pili

Simba 2-0 Saint George

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka Kiganjani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Soka Kiganjani:

Share