09/08/2026
π¨π₯ YANGA DAY YAWASHA MOTO! WANANCHI WAKO TAYARI! π’π‘
Leo macho ya mashabiki wa Yanga yako kwenye tukio kubwa la Yanga Day, huku hamasa ikiwa juu na matarajio yakiwa makubwa kuelekea msimu mpya.
β Peter Shalulile ni miongoni mwa majina yanayoongeza hamasa kubwa kwa Wananchi, baada ya kujiunga na Yanga. Mshambuliaji huyo amesema historia, mashabiki na utamaduni wa ushindi wa klabu hiyo vilimvutia kujiunga na Yanga.
π₯ Lakini Yanga Day ya mwaka huu ina mambo gani makubwa?
π Kikosi kipya kikoje?
β½ Shalulile anatarajiwa kufanya nini?
π Yanga ina mipango gani kuelekea Champions League?
πππ SOMA HABARI KAMILI HAPA:
[https://globalsportshubtz.blogspot.com/2026/08/yanga-day-2026-wananchi-shalulile.html]
π’π‘ WANANCHI TUKO TAYARI!
π¬ Swali: Unatarajia nini kikubwa kutoka Yanga msimu huu?