G News Sports

G News Sports Sport's News

24/09/2025

Celebrating my 7th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

 ➑️Timu zilizofuzu hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup
14/03/2025



➑️Timu zilizofuzu hatua ya 16 bora ya CRDB Federation Cup

➑️Shirikisho la mpira wa miguu Africa (CAF) leo machi 12, 2025 limemchagua Patrice Motsepe kuwa rais wa shirikisho hilo....
12/03/2025

➑️Shirikisho la mpira wa miguu Africa (CAF) leo machi 12, 2025 limemchagua Patrice Motsepe kuwa rais wa shirikisho hilo.

➑️Motsepe amechaguliwa kuongoza shirikisho hilo, ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika uchaguzi uliofanyika wakati wa mkutano mkuu wa CAF unaoendelea mjini Cairo Misri .

➑️  kocha wa klabu ya Yanga Miloud Hamdi ameshinda tuzo ya kocha bora  wa ligi kuu ya NBC kwa  mwezi February .➑️ Mshamb...
12/03/2025

➑️ kocha wa klabu ya Yanga Miloud Hamdi ameshinda tuzo ya kocha bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi February .

➑️ Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Prince Dube ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa mwezi February.

πŸ†Hatua ya 32 bora ya michuano ya CRDB FEDERATION CUP kuendelea wiki hii . Simba Sc πŸ†šοΈ TMA Stars Yanga Sc πŸ†šοΈ Coastal Unio...
10/03/2025

πŸ†Hatua ya 32 bora ya michuano ya CRDB FEDERATION CUP kuendelea wiki hii .
Simba Sc πŸ†šοΈ TMA Stars
Yanga Sc πŸ†šοΈ Coastal Union


πŸŽ‰ Facebook recognised me as a top rising creator this week!
18/02/2025

πŸŽ‰ Facebook recognised me as a top rising creator this week!

🏟 Matokeo ya michezo ya play offs UEFA Champions League .
12/02/2025

🏟 Matokeo ya michezo ya play offs UEFA Champions League .

🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Lucas Vazquez amerudi baada ya jeraha lake na atapatikana dhidi ya Atletico na Man City.
08/02/2025

🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Lucas Vazquez amerudi baada ya jeraha lake na atapatikana dhidi ya Atletico na Man City.

🚨 πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Al Ahli wamemtenga Roberto Firmino kwenye kikosi cha Saudi Pro League ili kumsajili mchezaji wao mpya wa Jan...
08/02/2025

🚨 πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Al Ahli wamemtenga Roberto Firmino kwenye kikosi cha Saudi Pro League ili kumsajili mchezaji wao mpya wa Januari Galeno! 🚫

Mbrazil huyo sasa ataweza kucheza Ligi ya Mabingwa ya Asia pekee kwa msimu uliosalia nchini Saudia.

πŸ‘€πŸ‡§πŸ‡· Vilabu kadhaa vinaanza kutafuta saini ya Firmino huku nafasi yake katika klabu ya Al Ahli ikionekana kukamilika.

Mimi GapiRobinho.

Magazeti ya leoNaomba mmfollow πŸ‘‡πŸ‘‡ mwana familia mwenzetu.GapiRobinho Sport'S πŸ™
08/02/2025

Magazeti ya leo

Naomba mmfollow πŸ‘‡πŸ‘‡ mwana familia mwenzetu.
GapiRobinho Sport'S πŸ™

➑️Takwimu za Son akiwa na Spurs ,  kwa kiwango chake na uwezo wake ilibidi awe ametwaa mataji ila kupanga ni kuchagua in...
07/02/2025

➑️Takwimu za Son akiwa na Spurs , kwa kiwango chake na uwezo wake ilibidi awe ametwaa mataji ila kupanga ni kuchagua inasikitisha.

Address

Dodoma

Telephone

+255622454623

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when G News Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share