YANGA on Fire

YANGA on Fire Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YANGA on Fire, Sport & recreation, Dodoma.

Chezaji la FIFA World CupπŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’š
16/10/2025

Chezaji la FIFA World CupπŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’š

Nyota wa Klabu ya Young Africans ametoa neno la shukrani kwa mashabiki wake ambao walimuunga mkono kwenye mchezo wake wa timu ya taifa kule nchini Ivory Coast.

"Ningependa kuwashukuru kutoka kwenye kilindi cha moyo wangu watu wote waliokuja kuniunga mkono wakati wa mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la Ivory Coast kwenye uwanja wa Γ‰bimpΓ©".

"Shukrani nyingi kwa vilabu vyangu mbalimbali na mashabiki huko AzaguiΓ©, Bagnon, na haswa wafuasi wa Yanga, (mwananchi) kwa ujirani wangu wote na bila shaka kwa familia yangu kwa uwepo wenu na kunitia moyo. πŸ’ͺπŸΎπŸ§‘πŸ’šπŸ€. Ameandika Pacome Zouzuoa () kupitia mtandao wake wa Instagram.

Wangapi mmemmiss professor wa boliπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›
01/01/2024

Wangapi mmemmiss professor wa boliπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›

16/10/2023

Karibu mpenzi na shabiki wa chama kubwa la yanga ujiunge na group hili jipya kabisa Ili uweze kupata habari kemkem za kimichezo kwa muda muhafaka za nje na ndani ya nchi ya TanzaniaπŸ’šπŸ’šπŸ’š

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YANGA on Fire posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share