African Sports

African Sports PATA HABARI ZA MICHEZO KUTOKA PANDE ZOTE ZA DUNIA.

29/06/2024

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! George Emmanuell, Elias Mnubi, Shabani Shabani Hamry, Fred Mwanguku, Lucky Leeking, Ifunya Harryson, Barick Mwasile, Joel Kalwana, Bigboy Vester

.... Hawa Singida Big stars mbona k**a wamekamia hivi !!! nataka nijue scouting yao nani anayeiongoza maana sio poa πŸ™ŒNim...
27/08/2022

.... Hawa Singida Big stars mbona k**a wamekamia hivi !!! nataka nijue scouting yao nani anayeiongoza maana sio poa πŸ™Œ

Nimeenda YouTube huyu Escobar πŸ‡¦πŸ‡· ni fundi wa boli aisee !! πŸ™Œ

Na wewe nenda youtube kwa kugusa link hapo chini alafu uje tumjadili

https://youtu.be/ZpAjAt6PA28

Klabu ya Simba SC itacheza mechi tatu{3} za kimataifa za kirafiki mechi hizo Ni dhidi ya⚽ SIMBA SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ†š ASANTE KOTOKOπŸ‡¬πŸ‡­πŸ“†...
23/08/2022

Klabu ya Simba SC itacheza mechi tatu{3} za kimataifa za kirafiki mechi hizo Ni dhidi ya
⚽ SIMBA SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ†š ASANTE KOTOKOπŸ‡¬πŸ‡­
πŸ“†28/08/2022 Sudan πŸ‡―πŸ‡΄

⚽ALHILAL πŸ‡―πŸ‡΄ πŸ†š SIMBA SCπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
πŸ“†31/08/2022 Sudan πŸ‡―πŸ‡΄

⚽ SIMBA SC πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ†šAS ARTASOLAR πŸ‡©πŸ‡―
πŸ“†03/09/2022 Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Droo ya klabu bingwa barani Africa na kombe la Shirikisho inafanyika leo.Klabu za Simba, Yanga, Azam na Geita leo zitawa...
09/08/2022

Droo ya klabu bingwa barani Africa na kombe la Shirikisho inafanyika leo.

Klabu za Simba, Yanga, Azam na Geita leo zitawajua wapinzani wao ambao watachuana nao katika hatua ya awali

-Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki raia wa Afrika ya kati mwenye asili ya DR Con...
28/06/2022

-Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa mshambuliaji Cesar Lobi Manzoki raia wa Afrika ya kati mwenye asili ya DR Congo. Manzoki mwenye umri wa miaka 25 amesaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la dola 120,000 (Zaid ya milioni 270 za kitanzania) k**a ada ya usajili na mshahara wa Dola 8000 (zaidi ya milioni 18 za kitanzania) kwa mwezi)

🚨RASMI: Klabu ya Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² Moses Phiri.✍️S P O R...
15/06/2022

🚨RASMI: Klabu ya Simba SC imetangaza kukamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² Moses Phiri.
✍️S P O R T N E

RASMI : Klabu ya Al Ahly Sc imethibitisha kuachana na kocha wao mkuu Pitso Mosimane πŸ‡ΏπŸ‡¦Takwimu zake akiwa na timu hiyo πŸ“ŠM...
13/06/2022

RASMI : Klabu ya Al Ahly Sc imethibitisha kuachana na kocha wao mkuu Pitso Mosimane πŸ‡ΏπŸ‡¦

Takwimu zake akiwa na timu hiyo πŸ“Š

Mechi: 97
Kushinda: 65
Kupoteza: 10
Sare: 22

CAF Champions League πŸ†πŸ†
CAF Super Cup πŸ†πŸ†
Egypt Cup πŸ†
Bronze Medal Club World Cup πŸ₯‰πŸ₯‰

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² Lazarus Kambole .Kambole atajiunga na Yang...
12/06/2022

Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa Mshambiliaji wa kimataifa wa Zambia πŸ‡ΏπŸ‡² Lazarus Kambole .
Kambole atajiunga na Yanga K**a Mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Kaizer Chiefs πŸ‡ΏπŸ‡¦.
Source"'Sport Center"'

Klabu ya Yanga Sc ipo kwenye mazungumzo na wakala wa winga wa Klabu iyo Farid Musa ili kutaka kumuongezea mkataba mpya m...
24/05/2022

Klabu ya Yanga Sc ipo kwenye mazungumzo na wakala wa winga wa Klabu iyo Farid Musa ili kutaka kumuongezea mkataba mpya mchezaji uyo.
Source"' Tanzania Sport Today"'

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when African Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to African Sports:

Shortcuts

Share