YC Updates

YC Updates Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YC Updates, Sports, Dodoma.

31/12/2021

๐‚๐‡๐”๐Š๐”๐€ ๐‡๐ˆ๐ˆ ๐Š๐”๐“๐Ž๐Š๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Œ๐ƒ๐€๐”

โžชKuna kamjadala kanatembea huko mitandaoni juu ya ubora wa makipa wawili Manula wa Simba na Diarra wa Yanga. Nani bora? Nani anastahili kujifunza kwa mwezake?
โžชHaya ndiyo maswali wanayojiuliza watu wengi. YES ni maswali fikirishi. Wote ni makipa bora Mosi. Pili sidhani k**a Aishi ana cha kujifunza kwa Diarra au Diarra ana cha kujifunza kwa Aishi.
โžชWote wana safari ndefu, lakini kuna sehemu Manula yuko Diarra hayuko.
โžช Simba na Taifa Stars zimemtangaza Manula kwa kiasi kikubwa. Kitendo cha Simba kucheza robo fainali mbili ndani ya miaka minne kimemfanya ajitangaze Afrika, sio kwa jina lake. Bali uwezo.
โžช Nchi nyingi zinamjua Aishi. Diarra ni moja ya makipa mahiri walioko katika soka letu kwa sasa. Huu ni ukweli usiopingika, lakini anapaswa kufanya kazi. Atuonyeshe k**a ambavyo Aishi ametuonyesha na anatuonyesha katika mechi za ligi na mechi za kimataifa.
โžชAishi amewahi kwenda Misri na Simba akachukua 5-0. Amewahi kwenda Congo na Simba akachukua tena 5 -0 nyingine. Vipigo hivyo vimemuimarisha kwa kiasi kikubwa.
โžช Tunataka kumuona Diarra katika level hizi, sio mtu atuambie moja kwa moja Diarra ni bora kumzidi Aishi. Katika taifa la Mali ambalo ni kubwa kuliko letu Diarra ni kipa namba mbili. Aishi ni namba moja wa Tanzania.
โžชHatujui k**a Diarra angekuwa Mtanzania au Manula angekuwa M'mali nini kingetokea kati yao kwenye lango. Manula ana uzoefu mkubwa wa kusimama langoni dhidi ya washambuliaji mahiri wakubwa wa Afrika.
โžชUzoefu wa Diarra anaupata katika benchi. Japo hili sio la kubeza. Inawezekana Diarra angekuwa Mtanzania huenda ndiyo angekuwa ndiyo Tanzania One. INAWEZEKANA.
โžชNadhani Watanzania hatupaswi kujipa presha ya kuwafananisha hawa makipa wawili. Diarra anatakiwa kufanya sana kazi ndiyo tuje katika meza ya ubishani.
โžช Aliko sasa Manula haitaji tena maswali. Amefanya kazi kubwa na kila mmoja wetu ameiona. Kina Metacha, Haroun Mandanda, M***a Mbise na wengineo ndiyo wanapaswa kujifunza kwa Diarra, sio Manula.
โžชKama Manula anataka kujifunza kitu awatazame kina Mohammed El Shanawy, Dennis Onyango, Sharrif Ekramy, Ithumeleng Nkune, lakini sio Diarra.
โžชUkiona umesoma kisha hujaelewa, hii haikuhusu wewe.

๐“๐ž๐ฅ๐ž๐ ๐ซ๐š๐ฆ ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ ๐ƒ๐ข๐›๐š๐ก๐’๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ฌ๐๐ž๐ฐ๐ฌ
https://t.me/+0FTKPrSsKA41YmRk

Ommy Dimpoz๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
27/07/2021

Ommy Dimpoz๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

JISOMEE MAGAZETI YA KIMICHEZO Leo April 9,2021  updates
09/04/2021

JISOMEE MAGAZETI YA KIMICHEZO
Leo April 9,2021

updates

NYUMBANI KWANZAAnaandika msemaji wa Simba Haji Manara ๐Ÿ‘‡  updates
08/04/2021

NYUMBANI KWANZA
Anaandika msemaji wa Simba Haji Manara ๐Ÿ‘‡

updates

KIKOSI CHA SIMBA CHATUA SALAMA CAIRO MISRIKikosi Cha klabu ya Simba kimetua salama jijini Cairo Misri kujiandaa kwa mche...
07/04/2021

KIKOSI CHA SIMBA CHATUA SALAMA CAIRO MISRI

Kikosi Cha klabu ya Simba kimetua salama jijini Cairo Misri kujiandaa kwa mchezo wao dhidi ya Al Ahly siku ya Ijumaa

updates

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO DHIDI YA AS VITAJe simba wataondoka na alama tatu leo?  updates
03/04/2021

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOANZA LEO DHIDI YA AS VITA

Je simba wataondoka na alama tatu leo?

updates

Jisomee Magazeti ya kimichezo leo April 2, 2021   updates
02/04/2021

Jisomee Magazeti ya kimichezo leo April 2, 2021

updates

Kamata vichwa vya Magazeti ya kimichezo leo April 1,2021  updates
01/04/2021

Kamata vichwa vya Magazeti ya kimichezo leo April 1,2021

updates

Jisomee Magazeti ya kimichezo leo March 10,2021  updates
10/03/2021

Jisomee Magazeti ya kimichezo leo March 10,2021

updates

HAYA SASA KUMEKUCHA KIKOSI CHA SIMBA LEO DHIDI YA AL MEREIKH,MANULA NJE LEONini maoni yako kuhusu kikosi alichopanga Koc...
06/03/2021

HAYA SASA KUMEKUCHA KIKOSI CHA SIMBA LEO DHIDI YA AL MEREIKH,

MANULA NJE LEO

Nini maoni yako kuhusu kikosi alichopanga Kocha Gomes leo?

updates

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION LEO  updates
04/03/2021

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA COASTAL UNION LEO

updates

RATIBA YA MECHI ZA CLABU BINGWA AFRIKA WIKI HII  updates
03/03/2021

RATIBA YA MECHI ZA CLABU BINGWA AFRIKA WIKI HII

updates

Address

Dodoma

Telephone

+255712654102

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YC Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category