OK. BODY Shape

OK. BODY Shape Ni mtu ambaye yeye habagui kujichanganya na watanzania wenzake bila kujali mkubwa wala mdogo. Hupenda sana kutoa ushauri na mazoezi kwa afya bora

MAZOEZI KWA AFYA BOA NA KUONEKANA NADHIFU

Mazoezi ya kuendesha baiskeli maalum  inaitwa spining  bike class.Zoezi hili sio  lazima uwe unajua  endesha  kwa sababu...
01/08/2020

Mazoezi ya kuendesha baiskeli maalum inaitwa spining bike class.
Zoezi hili sio lazima uwe unajua endesha kwa sababu kila mtu hufanya na huchukua muda wa dakika 45. Husaidia kupunguza uzito baada ya kufanya tu.

Mazoezo ya miguu ni mihimu sana  kwa kuimarisha misuli yako ya miguu .K**a picha zinavyoonyesha ikianza na kumaliza.Pich...
03/07/2020

Mazoezo ya miguu ni mihimu sana kwa kuimarisha misuli yako ya miguu .
K**a picha zinavyoonyesha ikianza na kumaliza.
Picha ya kulia inaonyeaha mwanzo wa mazoezi na ya kushoto ikimalizia reps 10x3.

30/05/2020

Mazoezi ya tumbo ni muhimu kufanya karibu kila siku hii ni kwa ajili ya kukuweka huna tumbo la mafuta bali unajenga six packs.

Katika kipindi hiki cha  maambukizi ya  korona  mazoezi ni muhimu sana kwa kila mtu  akiwa nyumbani. Inabidi upaye mda w...
05/05/2020

Katika kipindi hiki cha maambukizi ya korona mazoezi ni muhimu sana kwa kila mtu akiwa nyumbani. Inabidi upaye mda wa dk. 20 kujiganyia mazoezi ukiwa hapo nyumbani kwako kwa kufuatilia kutoka kitabu cha mazoezi.p

Mazoezi  ya sehemu ya pembeni  mwa mbavu (obliq mascle) yanavyofanywa.Na picha ya pili ni mazoezi ya aerobics katika uwa...
17/10/2019

Mazoezi ya sehemu ya pembeni mwa mbavu (obliq mascle) yanavyofanywa.

Na picha ya pili ni mazoezi ya aerobics katika uwanja wa wazi wa mwembe yanga

Kitabu cha mazoezi kipo  mauzoni ni kopi ya kwanza iliyoandikwa kwa lugha ya kiswahili.Kitabu kinazungumzia mambo mengi ...
18/09/2019

Kitabu cha mazoezi kipo mauzoni ni kopi ya kwanza iliyoandikwa kwa lugha ya kiswahili.
Kitabu kinazungumzia mambo mengi yahusuyo afya ya mwili wako na mazoezi ya aina zote ikiwemo mazoezi ya kutoa tumbo lilokithiri na mazoezi ya kujenga misuli. Wahi kopi yako sasa.piga simu no 255766 811 920

Mazoezi ya body tune husaidia kuondoa mafuta yalozidi kwenye mwili  wako. Najaribu kuongelea  hili  zoezi  na namna gani...
03/10/2016

Mazoezi ya body tune husaidia kuondoa mafuta yalozidi kwenye mwili wako.
Najaribu kuongelea hili zoezi na namna gani unaweza kufanya mazoezi kwa kutumia cable mashine.

DAWA YA KUONDOA KITANBI AU TUMBO KUBWA:Tumbo  halina  njia ya mkato kuliondoa, maanake unakula kila siku na dawa ya kuep...
09/07/2016

DAWA YA KUONDOA KITANBI AU TUMBO KUBWA:
Tumbo halina njia ya mkato kuliondoa, maanake unakula kila siku na dawa ya kuepukana nalo ni kufanya mazoezi japo mara moja kwa siku pindi uamkapo asubuhi jaribu kuenda mara mia moja kiwango cha chini. Lakini ni vema ufanye 50x6 nikimaanisha unaenda hamsini unapumzika dakika moja halafu unaendelea mpaka ufikie idadi utakayo.

Kwa kawaida  binadamu anakuwa na tatizo  ambalo hapendi awe nalo kutokana na muonekano wake.Tatizo lenyewe ni kuwa na tu...
28/06/2016

Kwa kawaida binadamu anakuwa na tatizo ambalo hapendi awe nalo kutokana na muonekano wake.
Tatizo lenyewe ni kuwa na tumbo kubwa au kitambi(kifriji) hukufanya uwe haupendezi hata ukivaa nguo ya gharama gani hupendezi. Inabidi kufanya mazoezi ili kuondoa hilo tatizo.

06/02/2016

Namna ya kula na kiasi gani na wakati gani.
Mlo wa siku ni kifungua kinywa nikiwa na maana, kupata mlo wa kutosha asubuhi.
Kwa wale wanaotaka kupunguza uzito , kubadili tabia ya kula hovyo. Na kupunguza kiasi cha chakula unachokula.
Wakati wa usiku pata chakula chepesi.
Zingatia mazoezi kwa mtokeo mzuri

06/08/2013

nawashukuru wale ambao wameungana nami muendelee kuwa nami.
NAWATAKIA RAMADHAN KARIM

08/08/2012

Hi every body karibuni kwenye mazoezi kupitia blog ya OK BODY SHAPE.na kujua mengi kuhusu afya yako ili urefushe maisha yako.
please like the page to get more information

Address

Dar Es Salam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when OK. BODY Shape posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to OK. BODY Shape:

Share