Tuichambue Kandanda

Tuichambue Kandanda Hi ni page ya michezo na burudani

02/09/2026

Magazeti ya michezo leo Tuichambue Kandanda

Klabu ya rayon sports ya nchini Rwanda imemtamburisha jezi zao za msimu pya wa 2026/2027 zikiwa na nembo ya jay rutty.  ...
01/09/2026

Klabu ya rayon sports ya nchini Rwanda imemtamburisha jezi zao za msimu pya wa 2026/2027 zikiwa na nembo ya jay rutty. Tanzania Football Federation RwandAir Fédération Rwandaise de Football Association

Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara
01/09/2026

Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara

Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania alphonce msanga amejiunga na kutamburishwa katika klabu ya   ya Algeria Mchezaji huyu ...
31/08/2026

Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania alphonce msanga amejiunga na kutamburishwa katika klabu ya ya Algeria

Mchezaji huyu amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. الهلال الأحمر الجزائري Algerian Red Crescent JS Kabylie

Mchezaji aliye onesha kandanda safi (man of the match ) katika mechi kati ya kagera sugar dhidi ya azam fc ni Feisal tot...
31/08/2026

Mchezaji aliye onesha kandanda safi (man of the match ) katika mechi kati ya kagera sugar dhidi ya azam fc ni Feisal toto kutoka azam fc.
Azam FC

Msimamo wa ligi kuu ya Nbc Tanzania bara baada ya mechi uko hivi.       Young Africans Sports Club Simba SC Tanzania Aza...
31/08/2026

Msimamo wa ligi kuu ya Nbc Tanzania bara baada ya mechi uko hivi. Young Africans Sports Club Simba SC Tanzania AzamSports Azam FC CoastalUnionfc Geita Gold Football Club.

Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara.     Azam FC .
31/08/2026

Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara. Azam FC .

Mchezaji wa klabu ya Simba SC Tanzania gueye amekuwa akishinda man of match,  kila mechi, isipokuwa  mechi moja tu.Mwamb...
31/08/2026

Mchezaji wa klabu ya Simba SC Tanzania gueye amekuwa akishinda man of match, kila mechi, isipokuwa mechi moja tu.

Mwamba anazikusanya kweli kweli mwisho wa siku anaweza hata kushinda tuzo nyingine za jumla katika ligi kuu ya Tanzania bara.

Congratulations to him well done✅

Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara       Simba SC Tanzania Geita Gold Football Club
31/08/2026

Matokeo ya ligi kuu ya Nbc Tanzania bara Simba SC Tanzania Geita Gold Football Club

Mashabiki wa Simba SC Tanzania Bado wanamwamini mchezaji wao doumbia.      "together with doumbia" pamoja na doumbia.
31/08/2026

Mashabiki wa Simba SC Tanzania Bado wanamwamini mchezaji wao doumbia. "together with doumbia" pamoja na doumbia.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuichambue Kandanda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tuichambue Kandanda:

Shortcuts

Share

Category