NOLLY TV

NOLLY TV KWA TAARIFA MBALI MBALI ZA KIMICHEZO BONYEZA LINK HAPA CHINI ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

๐Ÿ˜ฌ๐ŸŒ• Nyota chipukizi wa Hispania, Lamine Yamal, amefunguka kuhusu kushindwa tuzo ya Ballon d'Or na kukiri kuwa aliamini an...
08/06/2026

๐Ÿ˜ฌ๐ŸŒ• Nyota chipukizi wa Hispania, Lamine Yamal, amefunguka kuhusu kushindwa tuzo ya Ballon d'Or na kukiri kuwa aliamini angeibuka mshindi siku hiyo.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Lamine alisema:
"Kwa kweli, nilidhani ningeshinda Ballon d'Or siku hiyo. Lakini ni jambo zuri kwamba Ousmane Dembรฉlรฉ ndiye aliyeshinda. Haikuwa wakati wangu bado kushinda tuzo hiyo."

"Bado nilikuwa kijana mdogo na huenda nisingeweza kuthamini uzito wa mafanikio hayo k**a alivyofanya Dembรฉlรฉ." ๐Ÿซ‚

Lamine amesema kushindwa kwake kulimjenga zaidi binafsi na kumfanya kuwa mtu bora, huku akisisitiza kuwa amerejea akiwa na nguvu mpya.

โœจ "Leo nimeinuka tena... na tutaona k**a mwaka huu ndiyo utakuwa mwaka wangu wa kushinda Ballon d'Or." ๐Ÿ’ญ๐Ÿ†

๐Ÿ”ฅ Je, unadhani Lamine Yamal ana nafasi ya kushinda Ballon d'Or 2026? ๐Ÿค”๐ŸŒŸ

Katika mechi ya kirafiki kati ya Ujerumani na Finland usiku wa kuamkia leo , sheria mpya ya mipira ya kurusha ( throw-in...
01/06/2026

Katika mechi ya kirafiki kati ya Ujerumani na Finland usiku wa kuamkia leo , sheria mpya ya mipira ya kurusha ( throw-ins) ilianza kutumika, sheria ambayo itaonekana pia kwenye Kombe la Dunia.

Waamuzi wa pembeni watakuwa wakinyanyua mkono na kuanza kuhesabu hadi sekunde 5. Ikiwa timu haitarusha mpira wa pembeni ndani ya muda huo, mpira utatolewa kwa timu pinzani. โฑ๏ธโŒ

Kitu cha kuvutia zaidi kuhusu sheria hii ni kwamba hesabu haitaanza mara tu mchezaji anapouchukua mpira. Badala yake, muda utaanza kuhesabiwa pale mwamuzi atakapothibitisha kuwa mpira ni wa timu hiyo kurusha. ๐Ÿ‘€

Lengo la sheria hii ni kupunguza upotevu wa muda na kuongeza kasi ya mchezo. ๐Ÿ”ฅโšฝ

30/05/2026

Kwahyo huyu jamaa anatuamvia sisi ndimu moja uko ufaransa ji $50 anatuonaje huyu๐Ÿ˜‚

๐Ÿšฉ Msimamo wa Nbc primier League baada ya mechi za Leo kumalizika.Je, Timu yako ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo huu?๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
23/05/2026

๐Ÿšฉ Msimamo wa Nbc primier League baada ya mechi za Leo kumalizika.

Je, Timu yako ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo huu?

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿšจ RATIBA YA LEO VIWANJANI IJUMAA YA MAY 22-2026.๐Ÿ’ฃ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 16:00 - Young Africans SC โš”๏ธ Singida Black Stars ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 18:30 - Azam FC ...
22/05/2026

๐Ÿšจ RATIBA YA LEO VIWANJANI IJUMAA YA MAY 22-2026.๐Ÿ’ฃ

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 16:00 - Young Africans SC โš”๏ธ Singida Black Stars

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 18:30 - Azam FC โš”๏ธ Tanzania Prisons FC

๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น 21:45 - Fiorentina FC โš”๏ธ Atalanta BC

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท 22:00 - RC Lens โš”๏ธ OGC Nice

๐Ÿšจ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท OFFICIAL Kikosi cha Brazil kwa ajili ya Kombe la Dunia
19/05/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท OFFICIAL Kikosi cha Brazil kwa ajili ya Kombe la Dunia

Address

Kivule Mshikamano Street
Dar Es Salaam
15115

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NOLLY TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category