03/09/2026
WANARIADHA 4 WAJIPANGA MBIO ZA DUNIA ZA BARABARANI, DENMARK
Baadhi ya Viongozi wa shirikisho la Riadha Tanzania RT , wakiongozwa na rais Rogath John Stephen Akhwari na makocha , wakitoa maelekezo kwa wanariadha watakaoshiriki mbio za dunia za kilomita 21 huko Denmark.
Wanariadha hao ni Bernado Geay Benard Geay , Jumanne Mnada , Inyasi Sulle Inyasi Sulley na John Welle John Nahhay ; wanatarajia kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Dunia ya barabarani kwa Kilomita 21 "The World Athletics Road Running Championships Copenhagen 26 " yatakayo fanyika Jumapili ya tarehe 20 Septemba mwaka huu huko Copenhagen, Denmark.