10/08/2017
Nashangaa!Eti Watu Weng Wenye Pesa Yani Matajil Wanalalamika Maisha Magumu Eti Raisi Kabana?Na Sisi Wa Kipato Cha Chini Tusemaje?Mbona Hatulalamiki Sana?Nipeni Maneno Ndugu Zangu,hawa Matajil Wana Nini?Hivi Ndio Wanatuonea Huruma Sisi Wa Kipato Cha Chini?Mbona Walipokuwa Wanapata Pesa Nying Walikuwa Hawatuonei Huruma?