Msema ukweli

Msema ukweli Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Msema ukweli, Sports, Dar es Salaam.

Simba 2 _ 0 young African dkk ya 18
03/05/2026

Simba 2 _ 0 young African dkk ya 18

Watanzania wanajiuliza maswali mengi mwigizaji alimaarufu anaefahamika Kwa jina la ebitoke alipotelea wapi mpaka sasa ba...
14/04/2026

Watanzania wanajiuliza maswali
mengi mwigizaji alimaarufu
anaefahamika Kwa jina la
ebitoke alipotelea wapi
mpaka sasa baadhi ya
watanzania hawaelewi
mwenye kujua atwambie
kwenye comment hapo chini๐Ÿ‘‡

Follow ๐Ÿ‘‰ Msema ukweli

Mzee miaka 60 anaesumbuliwa na mapenzi
14/04/2026

Mzee miaka 60 anaesumbuliwa na mapenzi

Man of the match mpira huu unako elekea ni kubaya sana aise daah Simba ilifaa atoke na magoli  mawili na penalty zote mb...
06/04/2026

Man of the match mpira huu unako elekea ni kubaya sana aise daah Simba ilifaa
atoke na magoli mawili na penalty zote mbili

Follow ๐Ÿ‘‰ Msema ukweli

Nyota Wa Tanzania Kibu Denis amefunga bao moja akiisaidia timu yake ya Al Nasr kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al T...
06/04/2026

Nyota Wa Tanzania Kibu Denis amefunga bao moja akiisaidia timu yake ya Al Nasr kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Al Tahaddy kwenye mchezo wa Kombe La Libya

Follow ๐Ÿ‘‰ Msema ukweli

04/04/2026

Mbeya teari washafika ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ daah watu wa chunya andaeni ndura pin ๐Ÿ“Œ na rababend

Ajira hamna please tunaomba mfungwe vijana tupate chochote kitu wazee ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธKila la kheri mkeka wangu ๐Ÿซก
29/03/2026

Ajira hamna please tunaomba mfungwe vijana tupate chochote kitu wazee ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ธKila la kheri mkeka wangu ๐Ÿซก

FC Barcelona watachukua uamuzi wa kumsajili Victor Osimhen ikiwa watashindwa kukamilisha mkakati wao wa kumpata Julian A...
28/03/2026

FC Barcelona watachukua uamuzi wa kumsajili Victor Osimhen ikiwa watashindwa kukamilisha mkakati wao wa kumpata Julian Alvarez.

Dau la Alvarez ni kubwa na Atlรฉtico de Madrid hawapo tayari kupunguza.

follow ๐Ÿ‘‰ Msema ukweli

Achoma nyumba yake kisa mke wake kumtangaza kwa watu kuwa mume wangu anatumia dakika 1 moja kumwaga je nisahihi kuchukua...
27/03/2026

Achoma nyumba yake kisa mke wake kumtangaza kwa watu kuwa mume wangu anatumia dakika 1 moja kumwaga je nisahihi kuchukua maamuzi ya kuchoma nyumba naomba comment yako hapo chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Follow ๐Ÿ‘‰ Msema ukweli

๐ŸŸฅHizi Adhabu HAPANA Imekuwa too much Uongozi utoke kupinga hili nasi tutaunga mkono ni kweli tumefanya Kosa ila adhabu y...
27/03/2026

๐ŸŸฅHizi Adhabu HAPANA Imekuwa too much Uongozi utoke kupinga hili nasi tutaunga mkono ni kweli tumefanya Kosa ila adhabu ya milioni 10 ni uonevu tukifuata mtiririko wa matukio kuanzia Dodoma,Zanzibar na sasa Mwanza kuna tatizo kwenye bodi ya ligi

David Kameta akipigwa faini ya milioni 1 kisa tu kumwagia maji uwanjani ikihisiwa ni ushirikina wakati ni Hali ya kawaida Kisayansi kumwagia maji uwanjani kuzifanya nyasi ziwe na utayari

Simba SC tulipigwa Faini kutotumia vyumba vya kubadilisha nguo wakati tumeonyesha vina matundu bila uchunguzi wowote bodi wakatupiga Faini ya milioni 5

Chupa zimerushwa uwanjani vs Pamba jiji tukiwa Ugenini kwa kusemekana kwamba sisi ndio wahusika wakati Gongowazi walituma mashabiki wao Kule kwenda kuuchezea Ile mechi MACHAWA karibu wote walikuwa Kule wengine walivaa jezi nyekundu wengine walivaa za Pamba jiji

Angalia hiyo adhabu ya Diarra Kwa mujibu wa kanuni Makosa yake yote ni Faini na kusimamishwa ila kwa makusudi Kosa la pili kanuni imepindishwa kwa sababu wanazojua wao

Bodi ya ligi nadhani ni muda Wana Simba tuanze kuruka nayo โœ๏ธ

Ligi ya tanzania imekuwa yenye ushindani wa hali ya juu sana huwezi chukua point 3 kirahisi rahisi Kwa mpinzani VAR  ina...
26/03/2026

Ligi ya tanzania imekuwa yenye ushindani wa hali ya juu sana huwezi chukua point 3 kirahisi rahisi Kwa mpinzani

VAR inatakiwa sana kwenye mpira wa miguu tanzania naamini marefa wakiwa na moyo k**a wa Ahmed arajiga na vibendera wawe haki sawa naamini timu k**a Simba SC na
young African watapoteza sana point kwenye
hii ligi Kwa upande wako unaoneje
Kwa hili naomba comment hapo chin ๐Ÿ‘‡

Follow ๐Ÿ‘‰ Msema ukweli

Address

Dar Es Salaam
TZ

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msema ukweli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category