21/03/2020
Ligi ya England imekuwa ni moja kati ya ligi bora na pendwa kutokana na namna ambavyo imekuwa ikifuatiliwa Zaidi na watu wengi ulimwenguni. Ligi hii imetoa makocha bora, wachezaji bora, timu bora na nyuma ya hayo yote huwa kunakuwepo viongozi bora, nadni ya timu tunawagusia Zaidi manahodha. Hawa ndio manahodha bora zaidi ambao wamewahi kuongoza timu zinazoshiriki ligi kuu ya England, maarufu k**a EPL. [ 548 more words ]
Ligi ya England imekuwa ni moja kati ya ligi bora na pendwa kutokana na namna ambavyo imekuwa ikifuatiliwa Zaidi na Soma Zaidi...