Argexas football club

Argexas football club Our club is located in Dar es Salaam, Tanzania, in Buguruni, Tanzania

argexas football club
was established in the year
2016
The word Argexas is a combination of two clubs Argentina and Texas, that's how the name Argexas was found.

29/12/2025

wa Argexas football club wapata matokeo Manchester City FC Barcelona

R. I. P Selemani Ulembe Mungu akupe kauli thabit
02/06/2025

R. I. P Selemani Ulembe
Mungu akupe kauli thabit

28/02/2025

Wana Argexas football club , jambo La Letu la Dua na kufturisha.
Ni tar 16/03 Litakuwa Katika kumi La pili ndani ya mfungo wa ramadan

19/02/2025

HABARI ZENU WANA Argexas football club
SIKU YA TAR 23/02/2025
TUTAKUA NA KIKAO JUU YA SUALA ZIMA LA JAMBO LETU LA DUA HIVYO TUNAOMBWA KUFIKA KWA WINGI PIA TUSISAHAU KUJA NA MICHANGO YETU..

KIKAO KITAFANYIKA KWA SANGILO PALE KWENYE BANDA LA ASHURA ANAPO FANYA BIASHARA ..

MUDA WA KIKAO NI SAA MOJA NA NUSU UCKU 7:30.

NB.USISAHAU KUBEBA MCHANGO WAKO

*ITAKUA SIKU YA JPILI*

19/02/2025

HABARI ZENU WANA GROUP
SIKU YA TAR 23/02/2025
TUTAKUA NA KIKAO JUU YA SUALA ZIMA LA JAMBO LETU LA DUA HIVYO TUNAOMBWA KUFIKA KWA WINGI PIA TUSISAHAU KUJA NA MICHANGO YETU..

KIKAO KITAFANYIKA KWA SANGILO PALE KWENYE BANDA LA ASHURA ANAPO FANYA BIASHARA ..

MUDA WA KIKAO NI SAA MOJA NA NUSU UCKU 7:30.

NB.USISAHAU KUBEBA MCHANGO WAKO

*ITAKUA SIKU YA JUMAPILI*

10/02/2025

Maneno ya CAPTAIN WETU wa Argexas football club Awaomba radhi wana Argexas FC

"NDUGU WANA ARGEXAS NATUMAI NI WAZIMA.NASHUKURU KWA KUNIPA NAFASI YA KUCHEZEA TIMU AMBAYO NAISHABIKIA NA KUONYESHA KIPAJI NLICHONACHO NA KUNIPA UONGOZI WA WACHEZAJI WENZANGU(CAPTAIN)KULIKO NA MAKOSA NAOMBA RADHI KIJANA WENU NATUMAI NITARUDI NIKIWA BORA ZAIDI by Omary Majenje ". (Kwa niaba ya wana Argexas TUMEKUSAMEHE ndiyo mpira na unakosea mistake Ipo ".

Address

Dar Es Salaam
30560

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Argexas football club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category