Mpira Zawaidi Yangu

Mpira Zawaidi Yangu lengo au biashara ya huu ukurasa mm k**a mm nikujiendeleza na soka ndoto yangu nikucheza club kubwa hapa tz na ninamxhuru mungu kunipa nguvu na uzma

03/01/2019

ukijitambua kwa nafasi ulio nayo na kipaji ulicho nacho nivizuri zaidi ujitume kwanza na ndipo utumiwe kwa nafasi ulio nayo mungu awabariki sana fans wangu woteee

12/02/2018

mpira nikazi na ni ajira pia so inatakiwa uliye bahatika itumie nafasi hiyo na uwainuwe wengine pia asubhi njema

24/01/2018

pamoja x**a ma men

21/01/2018

Asili uchezaji ni kujituma

16/12/2017

Man city yaishushia kipigo cha goal 4-1 spurs kiukweli haishikiki na kocha wao apata tuzo mara tatu na kumufiki antonio konte wa chelsea

22/10/2017

Jana tulikuwa nampambano kati ya itumpi city vs hawimbi mchezo wa nusu fainali hawimbi walfanikiwa kuibuka na ushindi was goal 3-2 tunamuomba mungu atusaidie hata kwa

Timu ya itumpi city ilifanikiwa kuibuka na uxhindi wa goli 1 la penati dhidi ya timu ya nsenga
20/10/2017

Timu ya itumpi city ilifanikiwa kuibuka na uxhindi wa goli 1 la penati dhidi ya timu ya nsenga

29/09/2017
24/08/2017

Pamoja x**a wadu

Address

Ilala
Dar Es Salaam
1

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mpira Zawaidi Yangu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mpira Zawaidi Yangu:

Share