Sports HD YangaSupporter

Sports HD YangaSupporter Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sports HD YangaSupporter, Sports Event, Temeke Dar es Salaam, Dar es Salaam.
(1)

๐Ÿ†HABARI ZA YANGA
๐ŸšจTAARIFA ZA USAJILI
๐Ÿฅ…SOKA LA TANZANIA
๐ŸŒSOKA LA AFRICA

๐Ÿ“ขKAMA UNA TANGAZO LAKO WASILIANA NASI WHATSAPP TU (255752686641) ๐Ÿ“žau๐Ÿ’ฌ

๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡พ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ

MUUNGWANA๐Ÿ’ช๐Ÿ”ฐ

"Sina kinyongo chochote na Loemba kwa madhambi yaliyojitokeza kwa sababu naye alikua anatimiza majukumu yake Uwanjani "K...
14/04/2026

"Sina kinyongo chochote na Loemba kwa madhambi yaliyojitokeza kwa sababu naye alikua anatimiza majukumu yake Uwanjani

"Kwa hiyo ilitokea tu k**a sehemu ya mchezo, pia Loemba alinifuata na akaniomba radhi kwa hiyo nilichukulia kua ilitokea tu kwa bahati mbaya "__||๐ŸŽ™ Dickson Job

Ni juu ya majeraha aliyoyapata nahodha wa Yanga Dickson Job kwenye mchezo wa Derby.

๐Ÿšจ...||OFFICIAL NEWS๐Ÿ”ฐGenerali Duke Abuya mchezaji bora ๐๐ˆ๐‚ ๐ˆ๐๐’๐”๐‘๐€๐๐‚๐„ ๐๐‹๐€๐˜๐„๐‘ ๐Ž๐… ๐“๐‡๐„ ๐Œ๐Ž๐๐“๐‡ kwa mwezi Machi 2026
13/04/2026

๐Ÿšจ...||OFFICIAL NEWS๐Ÿ”ฐ

Generali Duke Abuya mchezaji bora ๐๐ˆ๐‚ ๐ˆ๐๐’๐”๐‘๐€๐๐‚๐„ ๐๐‹๐€๐˜๐„๐‘ ๐Ž๐… ๐“๐‡๐„ ๐Œ๐Ž๐๐“๐‡ kwa mwezi Machi 2026

๐Ÿšจ..||TAARIFA RASMI Golikipa namba moja  wa Yanga Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ  rasmi amemaliza kutumikia Adhabu aliyopewa na k**ati ...
13/04/2026

๐Ÿšจ..||TAARIFA RASMI

Golikipa namba moja wa Yanga Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ rasmi amemaliza kutumikia Adhabu aliyopewa na k**ati ya maadili ya masaa 72.

Diarra alisimamishwa michezo mitatu pamoja na Adhabu ya faini ya Tsh milioni 4. tayari Diarra amemaliza adhabu hiyo na ataungana na kikosi kuwavaa wagonga nyundo wa nyanda za juu kusini mwa nchi (Mbeya City) siku ya Alhamisi.

Pia Pacome Zouzou ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ yupo fiti anatarajiwa kuungana na kikosi kwaajili ya game zijazo

๐Ÿšจ...||TETESI ZA USAJILI ๐Ÿ”ฐUongozi wa Yanga unaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Azam FC James Akaminko mwisho wa m...
13/04/2026

๐Ÿšจ...||TETESI ZA USAJILI ๐Ÿ”ฐ

Uongozi wa Yanga unaangalia uwezekano wa kumsajili kiungo wa Azam FC James Akaminko mwisho wa msimu huu.

Kiungo huyo mkataba wake unamalizika mwisho wa msimu huu ndani ya Azam FC huku pia taarifa zikieleza kuwa Uongozi wa Azam umeanza kufanya mazungmzo ya kumpa mkataba mpya.

Uongozi wa Yanga unavutiwa na uwezo wa Akaminko kwa muda mrefu na tayari mipango ya kumnasa nyota huyo imeshaanza kufanyika.

๐Ÿšจ...||OFFICIAL Timu zilizofuzu Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDBโœ… Mashujaa  โœ… JKT Tanzania  โœ… Coastal Union  โœ…...
13/04/2026

๐Ÿšจ...||OFFICIAL

Timu zilizofuzu Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB

โœ… Mashujaa
โœ… JKT Tanzania
โœ… Coastal Union
โœ… Young Africans
โœ… TRA Utd
โœ… Simba Sc
โœ… Singida BS
โœ… Azam Fc

Mechi za Robo Fainali zitachezwa Mei 16 - 17, 2026

๐Ÿšจ...||MICHEZO ATAKAYOIKOSA DJIGUI DIARRA. ๐Ÿ“† 23โ€“31 Machi 2026 โ€” Yanga SC vs TMA FC (FA Cup)๐Ÿ“† 4 Aprili 2026 โ€” Yanga SC vs ...
27/03/2026

๐Ÿšจ...||MICHEZO ATAKAYOIKOSA DJIGUI DIARRA.
๐Ÿ“† 23โ€“31 Machi 2026 โ€” Yanga SC vs TMA FC (FA Cup)

๐Ÿ“† 4 Aprili 2026 โ€” Yanga SC vs Tanzania Prisons

๐Ÿ“† 16 Aprili 2026 โ€” Yanga SC vs Mbeya City

๐Ÿšจ...||TAARIFA KUTOKA TFFDjigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ  amesimamishwa mechi 3 na faini ya Tsh. Milioni 2 kwa kosa la  kumfanyia fujo  ...
27/03/2026

๐Ÿšจ...||TAARIFA KUTOKA TFF

Djigui Diarra ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ amesimamishwa mechi 3 na faini ya Tsh. Milioni 2 kwa kosa la kumfanyia fujo mwamuzi wa mchezo kati ya Yanga Sc na Mtibwa Sugar uliochezwa Jamuhuri Stadium ๐ŸŸ jijini Dodoma.

Diarra katozwa faini ya milioni 2 Tsh kwa kosa la kinidhamu baada ya mchezo alionyesha dole la kati wakati akitoka uwanjani (๐Ÿ–•๐Ÿพ).

TREN SGR HIYO๐Ÿš† ๐Ÿš‰   ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅODDS: 100+Kampuni:BetPawa CODES: UYRR7KVNB: Mechi zote za ligi zote tulizoweka ni kulingana na Msi...
06/03/2026

TREN SGR HIYO๐Ÿš† ๐Ÿš‰ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ

ODDS: 100+

Kampuni:BetPawa

CODES: UYRR7KV

NB: Mechi zote za ligi zote tulizoweka ni kulingana na Msimamo,Umuhimu wa game,Maendeleo ya timu,Majeruhi na Nk.

Pia unaeza kupunguza baadhi ya mechi /kuedit kulingana na Matakwa na mtazamo wako

DAR ๐Ÿš‰ KIGOMA Siku tatu

Inshallah ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ’ฐ

JIUNGE NA GROUP LETU LA MIKEKA YA KILA SIKU BUREEEE

LINK CHINI

SHARE LINK YA GROUP LETU TUJAE WAKAMALIA ๐Ÿ’ธ๐Ÿ’ถ

Link hii chini Hakikisha una share kwenye MAGROUP MENGINE tuongezeke

https://chat.whatsapp.com/E1gQjfW5Gji7BVymRNcF4A?mode=gi_t

โ€œDickson Job ameumia na atakuwa nje kwa miezi miwili au inaweza kuwa tofauti kidogoโ€ฆ! Kuhusu Pacome kiukweli bado hajaka...
04/03/2026

โ€œDickson Job ameumia na atakuwa nje kwa miezi miwili au inaweza kuwa tofauti kidogoโ€ฆ! Kuhusu Pacome kiukweli bado hajakaa sawa sanaโ€ฆ! Tutaona baada ya mazoezi ya leo na ni kweli tuna idadi kubwa sana ya majeruhi Ila haizuii sisi kujitumaโ€

Pedro Goncalves, Kocha wa Yanga SC kuelekea mchezo wa Kesho vs Singida Black Stars

FOLLOW US ๐Ÿ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VbBAmiM0rGiONFHZQ40g

Over 1.5 2'    minutes โ€” (1-0)40' minutes โ€” (Goal VAR _ Offside)60' minutes โ€” (Goal VAR _ Offside)90' minutes โ€” (Penalty...
09/02/2026

Over 1.5

2' minutes โ€” (1-0)
40' minutes โ€” (Goal VAR _ Offside)
60' minutes โ€” (Goal VAR _ Offside)
90' minutes โ€” (Penalty Awarded)

Two (2) minutes added

90+1 โ€” (Penalty Saved)

FULL TIME โ€”(1-0)

โ€œSijaridhishwa na tulivyocheza leo...! Ni vile tumetuzu robo ambacho ndio ilikuwa muhimu...! Jumapili tunacheza vs AS FA...
08/02/2026

โ€œSijaridhishwa na tulivyocheza leo...! Ni vile tumetuzu robo ambacho ndio ilikuwa muhimu...! Jumapili tunacheza vs AS FAR na tutatakiwa kuonesha tupo serious na mashindano...Tunatakiwa kuamua tuongoze kundi na si
vinginevyo..! Tutalazimisha kushinda na itatakiwa iwe hivyo...!
Ni lazima tushindeโ€

๐Ÿ—ฃ๏ธ Jess Thorup Kocha wa Al Ahly

Address

Temeke Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports HD YangaSupporter posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category